The Greatest Man in Universe: Kijana mdogo aliyefanya makubwa na kuacha alama akiwa na umri mdogo

Kuna beberu jengine linaitwa Imam Ghazali. Aliishi miaka 55 aliandika vitabu 400. Uandishi wake ni wa ajabu sana. Alikufa 19 Desemba 1111 AD.
 
Tupe kazi zake tusome mkuu
 
Kwa zama hizi kutoboa ufanye kazi uache kazi...

But its true... Time management ni factor muhimu sana...

Cc: mahondaw
 
[emoji16][emoji16][emoji16]

Sent using Jamii Forums mobile app
Roho ya Uokozi hurudi duniani pale maovu yakiongezeka utakatifu na utukufu wa mungu ukipungua. Kabla ya kuwa Roho hiyo kuzaliwa kuwa Yesu ilizaliwa kabla Uhindini miaka 2000 kabla yaa 4000BC, akijulikana kama Krishna, kumbuka wale mamajusi watatu waliojua tabiri uzao wake kwa kufuata nyota na kuitambulisha Dunia kuwa mwokozi atazaliwa walikuwa wakijua kuwa Roho ya Krishna imezaliwa, kwa kufuata position ya nyota ikawaepeleka kufika Israel, na kwa makubaliano maalumu na Joseph, walimuonya kuhusu njama za Mfalme Herode za kutaka kumuawa, na pia kwamba wao kama wajuzi wa masuala ya kiroho (spiritality) walipaswa kumtambulisha na kumuandaa ili ayakabiri majukumu yake, walimchukaa Israel akiwa na miaka 12 kumsomesha kwenye chuo ya elimu ya uumbaji ( kiroho), nyota na utabiri, na alirudi Israel akiwa na miaka 30 akiwa Enlighten being akitegemea kuwa atawakuta waisraeli wakiwa na shauku ya kumjua mungu wa kweli, akakuta kinyume na matarajio yake, waisrael walishikilia imani yao na tamaduni zao, hakuweza hata kuhutubu kwenye Sinagogi, akabidi ahutubu nje kwenye hadhala za wazi, muda mfupi alipata wafuasi wengi ambao wengi walienda kuhakiki mahubiri ya makuhani na sheria za mafalisayo, kwa umahili na uhodari wake watu wengi walimfuata, lakini wengine kwa kujua historia yake kuwa ni mtoto wa Yusufu (Joseph) fundi selemara walimdharau. Lakini kwa uwingi wa wafuasi, na miujiza aliyoifanya, alijijengea uadui mkubwa na Makuhani na Mafalisayo kwa zaka na sadaka zilipungua. Pia alionyosha wazi kutokufuata amri kumi za torati ambazo ndio ilikuwa sheria kuu ( katiba), kama kuto tii Sabato, kutengua Jino kwa jino badala yake alitaka wasameeane, kutofuata mfumo dume, kuchanganya mkusanyiko wa wanawake kwa wanaume, kutoa mafundisho bila kubagua ( alikuwa na wanafunzi wayahudi na wasio wayahudi, alikuwa na wanafunzi wanawake kwa wanaume), alioa mwanamke ambaye hakuchakuguliwa au kati ya binamu zake. ( Aliishi na Marry Magdalane yule kahaba alitaka pigwa mawe) ndio alikuwa kiongozi na best ya wanafunzi wake. Pia kitendo cha kujitamka hadhalani kuwa yeye ni mwana wa Mungu na Mfalme wa Mbinguni kinyume na moja ya amri kumi " kuwa usilitamke bure ya jina la bwana mungu wako...." hiyo ilipelekewa kufanya Uhaini na kushitakiwa na kupatwa makosa na kuhukumiwa kifo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Joseph ña Maria waliokuwa wameshaoana alipozaliwa Yesu?

Sasa unataka kutwambia Joseph alikuwa na matatizo?maana Yesu alizaliwa ki muujiza Maria akiwa ni bikira.

Nahisi kama umeongeza chumvi kijana.
Walikuwa wachumba, walikuwa hawajaingiliana kimwili, kumbuka bikra ilikuwa onadhibitishwa siku harusi. Joseph alitahadharishwa malaika, hakutaka mchumba wake aibike hivyo alimsitili.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Roho ya Uokozi hurudi duniani pale maovu yakiongezeka utakatifu na utukufu wa mungu ukipungua. Kabla ya kuwa Roho hiyo kuzaliwa kuwa Yesu ilizaliwa kabla Uhindini miaka 2000 kabla yaa 4000BC, akijulikana kama Krishna, kumbuka wale mamajusi watatu waliojua tabiri uzao wake kwa kufuata nyota na kuitambulisha Dunia kuwa mwokozi atazaliwa walikuwa wakijua kuwa Roho ya Krishna imezaliwa, kwa kufuata position ya nyota ikawaepeleka kufika Israel, na kwa makubaliano maalumu na Joseph, walimuonya kuhusu njama za Mfalme Herode za kutaka kumuawa, na pia kwamba wao kama wajuzi wa masuala ya kiroho (spiritality) walipaswa kumtambulisha na kumuandaa ili ayakabiri majukumu yake, walimchukaa Israel akiwa na miaka 12 kumsomesha kwenye chuo ya elimu ya uumbaji ( kiroho), nyota na utabiri, na alirudi Israel akiwa na miaka 30 akiwa Enlighten being akitegemea kuwa atawakuta waisraeli wakiwa na shauku ya kumjua mungu wa kweli, akakuta kinyume na matarajio yake, waisrael walishikilia imani yao na tamaduni zao, hakuweza hata kuhutubu kwenye Sinagogi, akabidi ahutubu nje kwenye hadhala za wazi, muda mfupi alipata wafuasi wengi ambao wengi walienda kuhakiki mahubiri ya makuhani na sheria za mafalisayo, kwa umahili na uhodari wake watu wengi walimfuata, lakini wengine kwa kujua historia yake kuwa ni mtoto wa Yusufu (Joseph) fundi selemara walimdharau. Lakini kwa uwingi wa wafuasi, na miujiza aliyoifanya, alijijengea uadui mkubwa na Makuhani na Mafalisayo kwa zaka na sadaka zilipungua. Pia alionyosha wazi kutokufuata amri kumi za torati ambazo ndio ilikuwa sheria kuu ( katiba), kama kuto tii Sabato, kutengua Jino kwa jino badala yake alitaka wasameeane, kutofuata mfumo dume, kuchanganya mkusanyiko wa wanawake kwa wanaume, kutoa mafundisho bila kubagua ( alikuwa na wanafunzi wayahudi na wasio wayahudi, alikuwa na wanafunzi wanawake kwa wanaume), alioa mwanamke ambaye hakuchakuguliwa au kati ya binamu zake. ( Aliishi na Marry Magdalane yule kahaba alitaka pigwa mawe) ndio alikuwa kiongozi na best ya wanafunzi wake. Pia kitendo cha kujitamka hadhalani kuwa yeye ni mwana wa Mungu na Mfalme wa Mbinguni kinyume na moja ya amri kumi " kuwa usilitamke bure ya jina la bwana mungu wako...." hiyo ilipelekewa kufanya Uhaini na kushitakiwa na kupatwa makosa na kuhukumiwa kifo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sang'udi Otorong'ong'o mtu wenu huyu hapa mm siwez bishana nae
 
John-Q,
Najua nilichoandika. Ila mada ya leo hatujadili uhalali wa ndoa ya maria au uhalali wa yusuf kuwa baba wa Yesu. Bali twazungumzia watu waliofanya mambo makubwa ambayo twaweza kujifunza kupitia wao.
Ahsante
Hii thread naiona leo ni mambo gani makubwa aliyoyafanya Yesu?
 
Back
Top Bottom