TUPACified
JF-Expert Member
- Feb 27, 2015
- 1,367
- 604
Messi ni mzuri lakini beki za kiitaliano za wakati ule zilikuwa balaah...
Mechi nyingine ambayo Messi & co walipata tabu mno ni ile mechi kati ya Barca na Inter ya Mourinho...
Ule ukata wa inter siku ile ulikuwa wa chuma maicon na lucio walikuwa katika kilele chao
usimsahau Codoba na kitasa Cambiaso....hapo bado kuna kibabu Zanetti
Kitasa meaning mkoba!? Center-Half??
Nesta ni balaaah... Chungulia pia alichomfanya NABII CHOKO a.k.a Dinho, chungulia pia alichomfanya cadabraaah.
usimsahau Codoba na kitasa Cambiaso....hapo bado kuna kibabu Zanetti
"Ronaldo is the hardest attacker I've ever had to face. He was impossible to stop." - Alessandro Nesta.
Paul Maldini, Nesta na CAFU walikuwa wanaipa uhai AC Millan na kufanya defence yao iwe ya kutisha.
Ila si kweli kwamba walikuwa hawapatiki. Walikuwa wanapitwa vilevile na Ronaldo, Thiery Henry, Romario nk.
Kumbukeni kuwa hapo juu, Messi alikuwa bado DOGO sana na Nesta akiwa mzoefu mkubwa katika mpira.
Messi badi angeliweza kutamba enzi za hao Mabeki wakali duniani.
Allesandro Nesta, beki bora zaidi kuwahi kutokea duniani baada ya Franco 'Piscinin' Baresi
Nessi alikutana na Nesta 'Babu' hakumkuta Nesta akiwa kwenye peak na bado andunje hakufurukuta.
Please msimfananishe Ronaldo 'El Phenomenon' na haka kaandunje, it's the greatest crime in football
Huwezi kulinganisha uchezaji wa Messi na Ronaldo. Ila kama kuna wachezaji wakali 5 duniani foward, basi Messi yumo.
Unaweza kumchukia na ukwamwita majina yoyote unayotaka, ntajua tu kwa sababu upo Real Madrid 🙂
Brazil footballers huwa wanatumia speed na nguvu nyingi. Messi unashindwa kujua kama anatumia nguvu nyingi kwa sababu muda wote unamuona mbele yako ila huwezi kumkamata wala kuuchukua mpira. Please, hiyo miwani ya mbao unayovaa unapomuangalia Messi, jaribu kuitoa.
Angalia hapa chini Babu yako Nesta ananyanyaswa na Messi hadi analia "Mama mia...."
"I loved watching players like [Zinedine] Zidane, Ronaldinho and Rivaldo but Ronaldo was the best striker I've ever seen," he added. "He was so fast he could score from nothing, and could shoot the ball better than anyone I've ever seen." That is what Messi said about Ronaldo.
Messi: Ronaldo was my hero - FIFA.com