The Greatest Tackle in Futbol

The Greatest Tackle in Futbol

TUPACified

JF-Expert Member
Joined
Feb 27, 2015
Posts
1,367
Reaction score
604
Title inajitosheleza, kwa mtazamo wangu. Timu bora, Beki bora, Mchezaji bora, game kubwa na bora, eneo la hatari zaidi....reaction ya Messi baada ya, inaelezea yote. Popote likitamkwa jina Alessandro Nesta, naikumbuka hii moment.

Futbol is art, THIS WAS ART.

Last edited by a moderator:
Messi ni mzuri lakini beki za kiitaliano za wakati ule zilikuwa balaah...

Mechi nyingine ambayo Messi & co walipata tabu mno ni ile mechi kati ya Barca na Inter ya Mourinho...
 
Messi ni mzuri lakini beki za kiitaliano za wakati ule zilikuwa balaah...

Mechi nyingine ambayo Messi & co walipata tabu mno ni ile mechi kati ya Barca na Inter ya Mourinho...

Inter walimzuia ki-timu. Varane na Thiago Silva washawahi kummiliki Messi pia
 
Ule ukata wa inter siku ile ulikuwa wa chuma maicon na lucio walikuwa katika kilele chao
 
Ule ukata wa inter siku ile ulikuwa wa chuma maicon na lucio walikuwa katika kilele chao

usimsahau Codoba na kitasa Cambiaso....hapo bado kuna kibabu Zanetti
 
Nesta ni balaaah... Chungulia pia alichomfanya NABII CHOKO a.k.a Dinho, chungulia pia alichomfanya cadabraaah.
 
"Ronaldo is the hardest attacker I've ever had to face. He was impossible to stop." - Alessandro Nesta.
 
Kitasa meaning mkoba!? Center-Half??

Mchezaji mkabaji huitwa kitasa...mara nyingi humaanisha centre half, au centre midfielder(kiungo wa chini)...

Cambiasso alikuwa anacheza kiungo cha chini...
 
Nesta ni balaaah... Chungulia pia alichomfanya NABII CHOKO a.k.a Dinho, chungulia pia alichomfanya cadabraaah.

Chifu, huwezi kusema kitu bila kutukana? Siyo ustaarabu katika jukwaa la michezo. Kama humkubali mchezaji fulani, basi potezea tu.
 
Paul Maldini, Nesta na CAFU walikuwa wanaipa uhai AC Millan na kufanya defence yao iwe ya kutisha.

Ila si kweli kwamba walikuwa hawapatiki. Walikuwa wanapitwa vilevile na Ronaldo, Thiery Henry, Romario nk.

Kumbukeni kuwa hapo juu, Messi alikuwa bado DOGO sana na Nesta akiwa mzoefu mkubwa katika mpira.

Messi badi angeliweza kutamba enzi za hao Mabeki wakali duniani.

Nessi alikutana na Nesta 'Babu' hakumkuta Nesta akiwa kwenye peak na bado andunje hakufurukuta.
Please msimfananishe Ronaldo 'El Phenomenon' na haka kaandunje, it's the greatest crime in football
 
Last edited by a moderator:
Allesandro Nesta, beki bora zaidi kuwahi kutokea duniani baada ya Franco 'Piscinin' Baresi

Baresi sikuwahi kuona akicheza. Kwangu anaanza Thiago Silva, at his peak, hakuna anayesogea
 
Huwezi kulinganisha uchezaji wa Messi na Ronaldo. Ila kama kuna wachezaji wakali 5 duniani foward, basi Messi yumo.

Unaweza kumchukia na ukwamwita majina yoyote unayotaka, ntajua tu kwa sababu upo Real Madrid 🙂

Brazil footballers huwa wanatumia speed na nguvu nyingi. Messi unashindwa kujua kama anatumia nguvu nyingi kwa sababu muda wote unamuona mbele yako ila huwezi kumkamata wala kuuchukua mpira. Please, hiyo miwani ya mbao unayovaa unapomuangalia Messi, jaribu kuitoa.

Angalia hapa chini Babu yako Nesta ananyanyaswa na Messi hadi analia "Mama mia...."

Nessi alikutana na Nesta 'Babu' hakumkuta Nesta akiwa kwenye peak na bado andunje hakufurukuta.
Please msimfananishe Ronaldo 'El Phenomenon' na haka kaandunje, it's the greatest crime in football
 
Last edited by a moderator:
Huwezi kulinganisha uchezaji wa Messi na Ronaldo. Ila kama kuna wachezaji wakali 5 duniani foward, basi Messi yumo.

Unaweza kumchukia na ukwamwita majina yoyote unayotaka, ntajua tu kwa sababu upo Real Madrid 🙂

Brazil footballers huwa wanatumia speed na nguvu nyingi. Messi unashindwa kujua kama anatumia nguvu nyingi kwa sababu muda wote unamuona mbele yako ila huwezi kumkamata wala kuuchukua mpira. Please, hiyo miwani ya mbao unayovaa unapomuangalia Messi, jaribu kuitoa.

Angalia hapa chini Babu yako Nesta ananyanyaswa na Messi hadi analia "Mama mia...."

"I loved watching players like [Zinedine] Zidane, Ronaldinho and Rivaldo but Ronaldo was the best striker I've ever seen," he added. "He was so fast he could score from nothing, and could shoot the ball better than anyone I've ever seen." That is what Messi said about Ronaldo.

Messi: Ronaldo was my hero - FIFA.com
 
Last edited by a moderator:
Franco baresi ilikuwa khabari nyingine pale milan na alipotundika daruga kwa heshma na taadhima wakamwambia hii jezi yako wa kuivaa tena hayupo nenda nayo.
 
Messi si kuwa hawaelewi wachezaji wengine wakali kama yeye. Zidane kwa mfano ni mchezaji ambaye utatamani sana uwe naye kwenye timu kwa sababu alikuwa kiunganishi kizuri sana. Ndiyo maana ulikuwa ukimuunga na Makelele, pale katikati lazima wakutawale. Pia Zidane alikuwa akizunguka na 360* basi mabeki wanaanza kukimbia ovyo kama Pundamilia wafanyavyo ili kumchanganya yeye. Ukisimama ukidhani anafanya maigizo, pass atakayotoa, utashangaa ni goli. Kama kuna wachezaji ambao nisingelipenda kucheza against wao basi ni huyu Zidane.

Ronaldo, Pele na Neymar mpira wao unafanana. Ni wachezaji ambao mara nyingi wanaenda palipo na Mabeki wengi. Wakiona Beki mmoja, mara nyingi wanamkimbia au wanasubiri wawe walau wawili kwa sababu wanategemea mwenzake akukabe. Sijui hii walifunzwa wapi ila angalia video utaiona hii.

Ronaldinho kidogo na Neymar, mara nyingi hushambulia hata Beki akiwa mmoja huku wakiamini Speed na Skill zao zitawasaidia kukupita. Pia nguvu hasa Ronaldinho.

Messi ni kama Iniesta kwa namna fulani na kidogo akichukua style ya Brazil ya kwenda walipo Mabeki wengi. Messi huwa anawasoma wapinzani wake na kujua nini watafanya na yeye anafanya kinyume chake. Kama ilivyo vigumu kumuangusha Iniesta, ndivyo hivyo hivyo vigumu kumuweka chini Messi au kumnyang'anya mpira. Hii itakuwa ni skill ambayo amejifunza baadaye Barcelona kwani mwanzo humuoni na hiyo karufundi.

All in all, muangalie PELE enzi zake na muangalie Ronaldo enzi zake, utagundua kabisa kuwa Ronaldo ali-copy vitu vingi sana kutoka kwa KING. Ndiyo maana hadi leo hii, King ni mmoja tu, PELE.

Back
Top Bottom