The Greatest Tackle in Futbol



which is Nesi? unamaanisha
ni haka kaeskimo ambako hakajawahi kubeba Word cup?
 
ukimtaja Ronaldo kama ni De Lima basi anza na neno Muheshimiwa...
hawa akina B5-click wanamjuwa Ronaldo huyu wa kujipodoa tu, so utawachanganya
Hahaha nakusoma bro, ila mi najua kuna Ronaldo mmoja tu, ambaye hata Ronaldinho ali-twist jina kwa heshima yake. Huyo mwingine lazima uanze na Cristiano.
 
forza Milan
Inakuaje Milan siku hizi hamsomeki mpaka Mino R. anawashauri kuunganisha timu na majirani zenu ili angalau mrudi kwenye chati. Tunawa-miss sana Ulaya arif, ila sioni kama mtakuja muda wowote karibuni. Madrid inahitaji mpinzani wa kweli wa vikombe, sio tuko 2 digits, hao wengine hata nusu yake bado.
 
ukimtaja Ronaldo kama ni De Lima basi anza na neno Muheshimiwa...
hawa akina B5-click wanamjuwa Ronaldo huyu wa kujipodoa tu, so utawachanganya

Hahahahah... Mnamzungumzia nani!? Simjui Mtu huyo!? Namfahamu kijana mmoja anaitwa Leo
 
hata Nyangumi ni kiumbe cha ajabu, hata vyura wa kihansi ni viumbe wa ajabu...

lakini Nabii atabaki kuwa Nabii...

hah hah hah hah piga keleleeeeeeeeeee

Hahahahahah... ww lazima utakua kaka wa mke wangu, nimegundua we ni mtanga... Tatizo bwana Shemeji unaongea sana bila uthibitisho, mm nipo likizo now karibu maskani umsalimu Dada yako afu nikufunze uhalisia wa kabumbu... Hahahahahah
 
Labda wewe ndo umewamiss Ac Milan, timu ishakuwa kama Simba SC ya Tanzania. Milan alimpiga Barca San Siro gori 2-0 akafurahi sana, na posho wakamwagiwa za kutosha. Wakaona haitoshi, wakanunua magazeti yooote waisifie Milan kwa ushindi huo.
Heeeeeee!!!!! Si wakaenda Camp Nou bhanaaaaaaaaaaaa.
 
Legend ambaye bado anacheza mpira
 

Attachments

  • 1428386325667.jpg
    11.6 KB · Views: 85
King leo
 

Attachments

  • 1428386519495.jpg
    9.3 KB · Views: 78
Unamfananisha de lima na messi yupi? huyu Ramadhan Chanongo 'Messi' wa simba au?
Harafu Mkuu nakuheshimuuuuu!!!!!!!

Kweli mpira umeanza kuangalia ukubwani. Real kabisa Messi mkali kuliko De Lima?
Wakati huyo Messi wako ndio anamsujudia De Lima
 
Mbona wewe unaniandika kwa herufi ndogo? mkuu. Mie pia ni Nabii kwa familia yangu.

Mnafanya makosa mkidhani hao wote sisi hatuwafahamu. Wote ni wazuri sana ila wengine mnaweka na NYEGE za mpira mbele zaidi na mnakuwa vipofu. Eti Nabii wa kwanza na wa mwisho, how do you know?

Nabii wako analia.... Sijui na yeye miungu yake ya mpira imemkimbia?

mkuu unachuma dhambi kwa kukosea kuandika jina la Nabii wa kwanza na wa mwisho wa Soka yaani Ronaldinho Magic...
 
Last edited by a moderator:
Mtasema hadi mpasuke. Mtasifia wa wenzenu bila kusifia wa kwenu. Ukweli ni mmoja, mfalme alikuwa George Weah.

Ndiyo maana hata majuu, walimuita KING George Weah.....

Ni mchezaji pekee duniani akicheza Ligi za juu (akichezea AC Millan) alichukua mpira kutoka golini upande wake, akaondoka nao hadi goli jingine na kufunga goli bila ya msaada wa mchezaji wa AC Millan hata mmoja.
Haya vileteni vikaragosi vyenu hapa na mnionyeshe hata mmoja aliyewahi kufanya MAAJABU hayo.

Kama huamini, video hii hapa: https://www.youtube.com/watch?v=DDuZpma_Oxs

 
Kuna mtu anaweza kusaidia kwa kuandika majina ya hawa watu wawili kwenye picha?

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…