Gang Chomba
JF-Expert Member
- Feb 29, 2008
- 20,649
- 4,786
Kweli mpira umeanza kuangalia ukubwani. Real kabisa Messi mkali kuliko De Lima?
Wakati huyo Messi wako ndio anamsujudia De Lima
kwi kwi kwi mkuu kuna tofauti kubwa kati ya Team and Club...upo
hah hah hah rejea Fainali ya Champions League ya mwaka 1994
afadhali umegundua Hilo...
Aleyn ni bingwa wa kutoka nje ya Mada
Wewe umebakia na historia yako tuu, wala hauna la kujisifia miaka hii miwili. Hivi sasa hivi mnashika nafasi ya ngapi Seria A?
View attachment 241319
"If You Hate This Man,,,You Hate Football". The most loved and respected player on the game ktk kipindi chote kilichosalia Duniani wengine wanarudia tu anachofanya Gaucho.
soka halitazamwi kwa miaka miwili bosi...
rudi kwenye hoja kuu
ALEYN si ujibu hoja ya Machiavelli au huwezi nikupe tafu na Nessi wako, Nesii nesii......watu wameona madoctor bana na hawapigi keleleKuna watu wanahusisha mpira na hisia zao binafsi, mtu atasema Pele hakuwa kitu kwa sababu hajawahi kucheza nje ya ligi ya Brazil. Hapo hapo atasema Messi ni bora zaidi kuwahi kutokea, Messi ambaye hajawahi kucheza club yoyote zaidi ya barca, na hajawahi kupata mafanikio yoyote ya maana akiwa na timu yake ya taifa.
Huwezi ku-reason kamwe na watu wa aina hii.
ALEYN si ujibu hoja ya Machiavelli au huwezi nikupe tafu na Nessi wako, Nesii nesii......watu wameona madoctor bana na hawapigi kelele
Mkuu, sijibu hoja za kijinga.
Hahahahahaaa, kwa hiyo unataka kusema 2Pac mjinga?
Juzi naona kwa mbindeeee
ha ha ha ha ile ilikuwa strategy ya kawaida tuu sio kwamba walikuwa wametubana kiviiiileeee.
Tunaficha tactics zetu ili tumuue vibaya PSG, kisha Juventus, tena hawa ndo tunawataka sana.
Temea chini, unawataka nani?
Nimesema nawataka JUVENTUS ya Italy, kwa jina lingine bwana wake AC Milan.
Unachokitaka utakipata ila tusije kulaumiana tu
Juventus the Bianconeri, Champions elect of the Uefa Champions League 2014/2015
Dortmund alishajifia mda tuu, basi mmeona mpo kwenye fooooomu.
kwenye hiyo Game, mzee Pirlo lazima atokee Bench. Pirlo anapata namba akicheza na timu goigoi kama Ac Milan. Timu ambayo imebakiwa na historia tuu, inapitwa hata na Man U!!!!!
Nyie ndio mko kwenye form baada ya kung'oa goma la kimboka-buguruni, Manshity wanaochapwa na Burnley na Crystal Palace bila upinzani