Tuachane na mambo ya chelsea Mkuu, it was just a joke bana
Wewe endelea kuomba sijui kusali ukutane na Bianconeri, nakwambia mtatafutana siku hiyo wacatalunya, mpe taarifa kabisa na gutierez
-Hata Gang Chomba alikua na fikra kama zako, pale ambapo Milan yake ikikutana na Barca.
-Walitupiga mbili kwao, akachonga sana hapa JF, mara ooooh Barca akiitoa Milan ataomba ruhusu aende muhimbili akafufue maiti, mara atajing'ata mgongoni, mara atalamba kope zake na maneno mengiiiiiii
-Ila ilipofia siku ya kwenda Camp Nou nadhani Mourinho ulijionea mwenyewe, anayemuita Nessi ndo alimtoa UEFA.
Last edited by a moderator:
