The Greatest Tackle in Futbol

The Greatest Tackle in Futbol

Tuachane na mambo ya chelsea Mkuu, it was just a joke bana
Wewe endelea kuomba sijui kusali ukutane na Bianconeri, nakwambia mtatafutana siku hiyo wacatalunya, mpe taarifa kabisa na gutierez

-Hata Gang Chomba alikua na fikra kama zako, pale ambapo Milan yake ikikutana na Barca.
-Walitupiga mbili kwao, akachonga sana hapa JF, mara ooooh Barca akiitoa Milan ataomba ruhusu aende muhimbili akafufue maiti, mara atajing'ata mgongoni, mara atalamba kope zake na maneno mengiiiiiii
-Ila ilipofia siku ya kwenda Camp Nou nadhani Mourinho ulijionea mwenyewe, anayemuita Nessi ndo alimtoa UEFA.
 
Last edited by a moderator:
Sidhani kama tukiwauliza Ibra na El Guaje watasema hicho ulichosema kuhusu Messi, au hata Coach wake, Lucho.

-Ulishawahi kusikia alichosema Baloteli kuhusu Messi?
-Unamjua Ray Hudson, ni mtangazaji maarufu wa BEIN sports US, sasa unajua aliemaje kuhusu Messi?
-Nenda kamsikilize Samir Nasri kuhusu Messi.
 
-Ulishawahi kusikia alichosema Baloteli kuhusu Messi?
-Unamjua Ray Hudson, ni mtangazaji maarufu wa BEIN sports US, sasa unajua aliemaje kuhusu Messi?
-Nenda kamsikilize Samir Nasri kuhusu Messi.
Hebu niambie kati ya niliowataja, na uliowataja, ni nani wanamjua Messi kiundani.
 
Hahahahahah.. Nashukuru JT THE CAPTAIN.. Chini ya uongozi wake hajawai mruhusu Kiumbe wa ajabu Messi aifunge #CFC
 
Nilijua utamuweka Le Fransis coquelin.... coq_3170085b.jpg
 
Mida ya Saa 22:00 tuwashe Tv kwa wale wenye DSTV na Bein ili tumuangalie Messi, King Messi. Au wale wenzangu wa Internet tunaweza tukaangalia Online hii mechi.
 
Mida ya Saa 22:00 tuwashe Tv kwa wale wenye DSTV na Bein ili tumuangalie Messi, King Messi. Au wale wenzangu wa Internet tunaweza tukaangalia Online hii mechi.
Hiyo 'saa 22:00' unayoongelea ni ya wapi? Coz nawaona kings of diving & simulation hapa wanacheza, na Messi namuona
 
Dah, kumbe Game imeanzaaaaaaa!!!!!!

haya sasa hata ratiba ya Game na kusoma muda kumbe hujui....
ila sasa nikikuuliza ratiba ya FUTUHI na Mapishi utanipa mpaka siku ya marudio ya vipindi
 
haya sasa hata ratiba ya Game na kusoma muda kumbe hujui....
ila sasa nikikuuliza ratiba ya FUTUHI na Mapishi utanipa mpaka siku ya marudio ya vipindi

hivi Jf kuna mtu anakuweza kwa kuongea wewe?
 
Back
Top Bottom