The Greatest Tackle in Futbol

The Greatest Tackle in Futbol

Mchezaji mkabaji huitwa kitasa...mara nyingi humaanisha centre half, au centre midfielder(kiungo wa chini)...

Cambiasso alikuwa anacheza kiungo cha chini...

Aaah.. Me najua Mara zote kitasa ni center half/mkoba.. So nilishangaa kidogo ukimuita Esteban Cambiasso kitasa.
 
Chifu, huwezi kusema kitu bila kutukana? Siyo ustaarabu katika jukwaa la michezo. Kama humkubali mchezaji fulani, basi potezea tu.

Mkuu NABII CHOKO ni matusi kumbe!? Aaah lakini ni sehemu ya kukamilisha kile wafuasi wake wanaaminisha uma kuwa jamaa ni NABII wa soka... Kama sijakupendeza niwie radhi mkuu Nzi
 
Last edited by a moderator:
Huwezi kulinganisha uchezaji wa Messi na Ronaldo. Ila kama kuna wachezaji wakali 5 duniani foward, basi Messi yumo.

Unaweza kumchukia na ukwamwita majina yoyote unayotaka, ntajua tu kwa sababu upo Real Madrid 🙂

Brazil footballers huwa wanatumia speed na nguvu nyingi. Messi unashindwa kujua kama anatumia nguvu nyingi kwa sababu muda wote unamuona mbele yako ila huwezi kumkamata wala kuuchukua mpira. Please, hiyo miwani ya mbao unayovaa unapomuangalia Messi, jaribu kuitoa.

Angalia hapa chini Babu yako Nesta ananyanyaswa na Messi hadi analia "Mama mia...."

Unachozungumza mkuu ndicho kweli... Messi ni kiumbe wa ajabu ktk soka, bila kujali umbile lake mambo anayoyafanya ni hatari.. Wanamtukana sana tena kwa kumuita NeSSI!??? Sisi tukimgusa 'nabii' wanalalama.
 
Last edited by a moderator:
Best all time defender....Nesta

Best all time defensive partnership ....Nesta na Maldini

'Pascinin' namkubali mno....Headmaster
 
Messi si kuwa hawaelewi wachezaji wengine wakali kama yeye. Zidane kwa mfano ni mchezaji ambaye utatamani sana uwe naye kwenye timu kwa sababu alikuwa kiunganishi kizuri sana. Ndiyo maana ulikuwa ukimuunga na Makelele, pale katikati lazima wakutawale. Pia Zidane alikuwa akizunguka na 360* basi mabeki wanaanza kukimbia ovyo kama Pundamilia wafanyavyo ili kumchanganya yeye. Ukisimama ukidhani anafanya maigizo, pass atakayotoa, utashangaa ni goli. Kama kuna wachezaji ambao nisingelipenda kucheza against wao basi ni huyu Zidane.

Ronaldo, Pele na Neymar mpira wao unafanana. Ni wachezaji ambao mara nyingi wanaenda palipo na Mabeki wengi. Wakiona Beki mmoja, mara nyingi wanamkimbia au wanasubiri wawe walau wawili kwa sababu wanategemea mwenzake akukabe. Sijui hii walifunzwa wapi ila angalia video utaiona hii.

Ronaldinho kidogo na Neymar, mara nyingi hushambulia hata Beki akiwa mmoja huku wakiamini Speed na Skill zao zitawasaidia kukupita. Pia nguvu hasa Ronaldinho.

Messi ni kama Iniesta kwa namna fulani na kidogo akichukua style ya Brazil ya kwenda walipo Mabeki wengi. Messi huwa anawasoma wapinzani wake na kujua nini watafanya na yeye anafanya kinyume chake. Kama ilivyo vigumu kumuangusha Iniesta, ndivyo hivyo hivyo vigumu kumuweka chini Messi au kumnyang'anya mpira. Hii itakuwa ni skill ambayo amejifunza baadaye Barcelona kwani mwanzo humuoni na hiyo karufundi.

All in all, muangalie PELE enzi zake na muangalie Ronaldo enzi zake, utagundua kabisa kuwa Ronaldo ali-copy vitu vingi sana kutoka kwa KING. Ndiyo maana hadi leo hii, King ni mmoja tu, PELE.
Pele ni king kwa mtazamo wako, ni sawa kabisa bro. Kwa mtazamo wangu, Ronaldo is the King.

Moja, mafanikio yake yako wazi. Na wakali wangu wengine wote wanamkubali, kuanzia Zidane, Ronaldinho, Messi, Nesta, mpaka kina Benzema n.k.

Mbili na muhimu zaidi, career yake na changamoto za majeruhi alizopitia, bado alipambana ambapo karibu kila mtu alisema haiwezekani, akarudi na kutawala. Hapa kuna mafunzo na inspirations kimaisha kwa ujumla.

Tatu, nadhani naongea kwa niaba ya kila mpenda soka duniani, wote huwa tunajiuliza ingekuwa vipi Ronaldo asingekumbwa na hayo majeruhi?? Moja ya vitu ntakavyomuomba Sir G in the next life, ni anionyeshe tu career ya Jamaa bila hayo majanga, nione angefika wapi.

Ya mwisho, nimesikia tu Pele alichoweza kufanya na kuona mara chache. Kwa upande mwingine, nimeona yote aliyofanya Ronaldo.
 
Huwezi kulinganisha uchezaji wa Messi na Ronaldo. Ila kama kuna wachezaji wakali 5 duniani foward, basi Messi yumo.

Unaweza kumchukia na ukwamwita majina yoyote unayotaka, ntajua tu kwa sababu upo Real Madrid 🙂

Brazil footballers huwa wanatumia speed na nguvu nyingi. Messi unashindwa kujua kama anatumia nguvu nyingi kwa sababu muda wote unamuona mbele yako ila huwezi kumkamata wala kuuchukua mpira. Please, hiyo miwani ya mbao unayovaa unapomuangalia Messi, jaribu kuitoa.

Angalia hapa chini Babu yako Nesta ananyanyaswa na Messi hadi analia "Mama mia...."

Of course katika forwards watano Duniani, andunje hawezi kukosa lakini mshambuliaji bora kati ya Ronaldo de Lima na Messi, Ronaldo atashinda hicho kinyang'anyiro kila siku.
Simchukii andunje na nikutaarifu tu mimi ni Juventini, sio kila anayem challenge Nessi basi ni Madrid, punguza kukariri
Sijui ni nani anaweza kucheza soka la ulaya bila kuwa na nguvu na speed, simjui kwa kweli.
Hawa kina nessi na christina wanatamba kipindi ambacho washambuliaji wamekua vimungu mtu uwanjani, wakiguswa tu faulo, kadi n.k tena huyo christina ndio kabisaa, akiguswa kidogo anaruka kama kapigwa kombora, credit to Messi though, hardly kumuona andunje akifanya simulation
But what about the art of defending in modern football, ambayo ndio inabeba theme ya hii thread? Siku hizi mabeki wanaogopa hata kufanya tackling kwa sababu kina christina wanaweza kugalagala uwanjani kama wamepigwa na kiguruneti bana? Sheria za siku hizi zinazidi kuwabeba washambuliaji na kuwakandamiza mabeki, hata tuzo siku hizi ni kwa ajili ya forwards tu, enzi hizo kulikua na msemo "Strikers win games, defenders and goalkeepers win championships."
 
Last edited by a moderator:
Messi si kuwa hawaelewi wachezaji wengine wakali kama yeye. Zidane kwa mfano ni mchezaji ambaye utatamani sana uwe naye kwenye timu kwa sababu alikuwa kiunganishi kizuri sana. Ndiyo maana ulikuwa ukimuunga na Makelele, pale katikati lazima wakutawale. Pia Zidane alikuwa akizunguka na 360* basi mabeki wanaanza kukimbia ovyo kama Pundamilia wafanyavyo ili kumchanganya yeye. Ukisimama ukidhani anafanya maigizo, pass atakayotoa, utashangaa ni goli. Kama kuna wachezaji ambao nisingelipenda kucheza against wao basi ni huyu Zidane.

Ronaldo, Pele na Neymar mpira wao unafanana. Ni wachezaji ambao mara nyingi wanaenda palipo na Mabeki wengi. Wakiona Beki mmoja, mara nyingi wanamkimbia au wanasubiri wawe walau wawili kwa sababu wanategemea mwenzake akukabe. Sijui hii walifunzwa wapi ila angalia video utaiona hii.

Ronaldinho kidogo na Neymar, mara nyingi hushambulia hata Beki akiwa mmoja huku wakiamini Speed na Skill zao zitawasaidia kukupita. Pia nguvu hasa Ronaldinho.

Messi ni kama Iniesta kwa namna fulani na kidogo akichukua style ya Brazil ya kwenda walipo Mabeki wengi. Messi huwa anawasoma wapinzani wake na kujua nini watafanya na yeye anafanya kinyume chake. Kama ilivyo vigumu kumuangusha Iniesta, ndivyo hivyo hivyo vigumu kumuweka chini Messi au kumnyang'anya mpira. Hii itakuwa ni skill ambayo amejifunza baadaye Barcelona kwani mwanzo humuoni na hiyo karufundi.

All in all, muangalie PELE enzi zake na muangalie Ronaldo enzi zake, utagundua kabisa kuwa Ronaldo ali-copy vitu vingi sana kutoka kwa KING. Ndiyo maana hadi leo hii, King ni mmoja tu, PELE.

Hapo kwa Zizou hakuna ubishi, kwa hizi karne mbili sijamuona kiungo kama Zizou
Neymar anacheza vizuri akitokea pembeni, Ronaldo alikua mshambuliaji wa kati, no.9, Ronaldo pamoja na skills alikua na nguvu na stamina ya ajabu kupasua kuta ngumu bila kuangukaanguka hovyo kama huyu dogo, ungesema Neymar kafanana mpira na Christina labla
Pele ni siasa tu, hamgusi hata Ronaldo de Lima huyo kigagula, alikua mshambuliaji design ya kina Inzaghi, Van Nesterooy, pele hakua na uwezo wa kupasua ukuta na skills kama za de Lima, alikua muoteaji tu kazi kubwa ilifanywa na wachezaji wasiopewa sifa leo hii kama Carlos Alberto na Garrincha na alifunga magoli mengi sana ambayo otherwise yalikua offside kutokana na sheria za kipuuzi za kipindi chake.
Mungu wa soccer anaitwa Diego Armando 'D10S' Maradona, hakuna pele wala upele. Kila skills unayoiona leo kwenye soka ilikua invented na Dios including ile chenga ya Zidane 360 au helicopter kwa jina jingine, what Pele could do with a football, Maradona could do it better with a golf ball
 
Of course katika forwards watano Duniani, andunje hawezi kukosa lakini mshambuliaji bora kati ya Ronaldo de Lima na Messi, Ronaldo atashinda hicho kinyang'anyiro kila siku.
Simchukii andunje na nikutaarifu tu mimi ni Juventini, sio kila anayem challenge Nessi basi ni Madrid, punguza kukariri
Sijui ni nani anaweza kucheza soka la ulaya bila kuwa na nguvu na speed, simjui kwa kweli.
Hawa kina nessi na christina wanatamba kipindi ambacho washambuliaji wamekua vimungu mtu uwanjani, wakiguswa tu faulo, kadi n.k tena huyo christina ndio kabisaa, akiguswa kidogo anaruka kama kapigwa kombora, credit to Messi though, hardly kumuona andunje akifanya simulation
But what about the art of defending in modern football, ambayo ndio inabeba theme ya hii thread? Siku hizi mabeki wanaogopa hata kufanya tackling kwa sababu kina christina wanaweza kugalagala uwanjani kama wamepigwa na kiguruneti bana? Sheria za siku hizi zinazidi kuwabeba washambuliaji na kuwakandamiza mabeki, hata tuzo siku hizi ni kwa ajili ya forwards tu, enzi hizo kulikua na msemo "Strikers win games, defenders and goalkeepers win championships."

Unamfananisha de lima na messi yupi? huyu Ramadhan Chanongo 'Messi' wa simba au?
Harafu Mkuu nakuheshimuuuuu!!!!!!!
 
Sijui umetembea kiasi gani duniani. Ila ungelikuwa umtembea sana na kuona heshima anayopewa PELE hadi leo, ndiyo ungelijua huyu kweli ni KING. Wengi walibisha kama wewe hadi yalipowakuta.

Romario alikuwa akiamini kuwa yeye ndiyo zaidi. Siku moja akiwa kwenye mataa, akawekewa bastola dirishani mwa gari, akashusha kioo na jamaa kuchungulia wakamuona PELE, wakamsalimia na kuwaambia waende. Next time wakamsimamisha tena na alikuwa peke yake, gari ikaenda.

Muangalie kipande kidogo tu kwenye hii Video ujuwe maana ya AUTO-PASS yaani jinsi ya kujipigia pass mwenyewe.
Just start from 1:00 min.

Pele ni king kwa mtazamo wako, ni sawa kabisa bro. Kwa mtazamo wangu, Ronaldo is the King.

Moja, mafanikio yake yako wazi. Na wakali wangu wengine wote wanamkubali, kuanzia Zidane, Ronaldinho, Messi, Nesta, mpaka kina Benzema n.k.

Mbili na muhimu zaidi, career yake na changamoto za majeruhi alizopitia, bado alipambana ambapo karibu kila mtu alisema haiwezekani, akarudi na kutawala. Hapa kuna mafunzo na inspirations kimaisha kwa ujumla.

Tatu, nadhani naongea kwa niaba ya kila mpenda soka duniani, wote huwa tunajiuliza ingekuwa vipi Ronaldo asingekumbwa na hayo majeruhi?? Moja ya vitu ntakavyomuomba Sir G in the next life, ni anionyeshe tu career ya Jamaa bila hayo majanga, nione angefika wapi.

Ya mwisho, nimesikia tu Pele alichoweza kufanya na kuona mara chache. Kwa upande mwingine, nimeona yote aliyofanya Ronaldo.
 
Last edited by a moderator:
Unachozungumza mkuu ndicho kweli... Messi ni kiumbe wa ajabu ktk soka, bila kujali umbile lake mambo anayoyafanya ni hatari.. Wanamtukana sana tena kwa kumuita NeSSI!??? Sisi tukimgusa 'nabii' wanalalama.

Chifu kwahiyo kwako wewe maneno Nessi na Choko yapo sawa?

Watu kumwita Messi kuwa ni Nessi huo ni utani halisi wa kwenye soka. Kama Maurinho anavyoitwa Maureen; Cristiano, Christina/Cristina; Nasri, Nasra n.k.

Lakini kumwita mtu 'choko' si utani, bali ni tusi...
 
Angalia video hiyo juu: https://www.youtube.com/watch?v=953rOfQ8Y0w

Kuanzia dakika ya kwanza na njoo tuongee. Angalia style mbili ambazo Raul aliyekuwa Real Madrid alikuwa akicheza, zilianza na Pele. Hizi Pass wanacheza Barcelona hado leo, Pele aliziansha zamani sana na wanaziita Auto-Pass.

Hapo kwa Zizou hakuna ubishi, kwa hizi karne mbili sijamuona kiungo kama Zizou
Neymar anacheza vizuri akitokea pembeni, Ronaldo alikua mshambuliaji wa kati, no.9, Ronaldo pamoja na skills alikua na nguvu na stamina ya ajabu kupasua kuta ngumu bila kuangukaanguka hovyo kama huyu dogo, ungesema Neymar kafanana mpira na Christina labla
Pele ni siasa tu, hamgusi hata Ronaldo de Lima huyo kigagula, alikua mshambuliaji design ya kina Inzaghi, Van Nesterooy, pele hakua na uwezo wa kupasua ukuta na skills kama za de Lima, alikua muoteaji tu kazi kubwa ilifanywa na wachezaji wasiopewa sifa leo hii kama Carlos Alberto na Garrincha na alifunga magoli mengi sana ambayo otherwise yalikua offside kutokana na sheria za kipuuzi za kipindi chake.
Mungu wa soccer anaitwa Diego Armando 'D10S' Maradona, hakuna pele wala upele. Kila skills unayoiona leo kwenye soka ilikua invented na Dios including ile chenga ya Zidane 360 au helicopter kwa jina jingine, what Pele could do with a football, Maradona could do it better with a golf ball
 
H
Pele ni siasa tu, hamgusi hata Ronaldo de Lima huyo kigagula, alikua mshambuliaji design ya kina Inzaghi, Van Nesterooy, pele hakua na uwezo wa kupasua ukuta na skills kama za de Lima, alikua muoteaji tu kazi kubwa ilifanywa na wachezaji wasiopewa sifa leo hii kama Carlos Alberto na Garrincha na alifunga magoli mengi sana ambayo otherwise yalikua offside kutokana na sheria za kipuuzi za kipindi chake.

Doh! Wewe ni kiboko...unastahili kujiita Mourinho kama somo wako mpiga domo!!
 
Hahahaha, unajua jamaa nikiwawekea Video, hata hawaangalii.

Kama wangeliangalia na wakumbuke kuwa enzi Pele anacheza, mpira ulikuwa mzito na viatu vibaya, ndiyo atajua nini maana ya Pele kuitwa KING. Ukiangalia hii Video, kuna style nyingi ambazo Neymar na C Ronaldho wanazicheza leo hii.

Hii ya kupiga watu matobo, Neymar anajaribu tu ila Messi na Ronaldho wa Brazil ndiyo walizi-copy haswa. Check 2:50

Doh! Wewe ni kiboko...unastahili kujiita Mourinho kama somo wako mpiga domo!!
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: Nzi
Hivi huyu Zlatan Ibrahimovic na magoli yake ya AJABU AJABU, huwa mnamuweka kundi gani?

Mtangazaji kidogo apate ugonjwa wa moyo kuhusu hili goli ambalo hakuna alitegemea litatokea, mhh labda Ibra mwenyewe.

Last edited by a moderator:
Sijui umetembea kiasi gani duniani. Ila ungelikuwa umtembea sana na kuona heshima anayopewa PELE hadi leo, ndiyo ungelijua huyu kweli ni KING. Wengi walibisha kama wewe hadi yalipowakuta.

Romario alikuwa akiamini kuwa yeye ndiyo zaidi. Siku moja akiwa kwenye mataa, akawekewa bastola dirishani mwa gari, akashusha kioo na jamaa kuchungulia wakamuona PELE, wakamsalimia na kuwaambia waende. Next time wakamsimamisha tena na alikuwa peke yake, gari ikaenda.

Muangalie kipande kidogo tu kwenye hii Video ujuwe maana ya AUTO-PASS yaani jinsi ya kujipigia pass mwenyewe.
Just start from 1:00 min.

Nimefungua hiyo 'video' yako mpaka dk ya 3, nasikia tu wimbo mmoja wa ajabuajabu, sioni picha wala video
 
Last edited by a moderator:
Hahahaha, unajua jamaa nikiwawekea Video, hata hawaangalii.

Kama wangeliangalia na wakumbuke kuwa enzi Pele anacheza, mpira ulikuwa mzito na viatu vibaya, ndiyo atajua nini maana ya Pele kuitwa KING. Ukiangalia hii Video, kuna style nyingi ambazo Neymar na C Ronaldho wanazicheza leo hii.

Hii ya kupiga watu matobo, Neymar anajaribu tu ila Messi na Ronaldho wa Brazil ndiyo walizi-copy haswa. Check 2:50

Wanashangaza sana watu hawa...eti Pele alikuwa hana skills za kupita misitu ya mabeki!!!
 
Last edited by a moderator:
Doh! Wewe ni kiboko...unastahili kujiita Mourinho kama somo wako mpiga domo!!

Teh teh teh, nilidhani hapa JF tunatumia fake usernames/ID mdudu Nzi
 
Last edited by a moderator:
Sijui umetembea kiasi gani duniani. Ila ungelikuwa umtembea sana na kuona heshima anayopewa PELE hadi leo, ndiyo ungelijua huyu kweli ni KING. Wengi walibisha kama wewe hadi yalipowakuta.

Romario alikuwa akiamini kuwa yeye ndiyo zaidi. Siku moja akiwa kwenye mataa, akawekewa bastola dirishani mwa gari, akashusha kioo na jamaa kuchungulia wakamuona PELE, wakamsalimia na kuwaambia waende. Next time wakamsimamisha tena na alikuwa peke yake, gari ikaenda.

Muangalie kipande kidogo tu kwenye hii Video ujuwe maana ya AUTO-PASS yaani jinsi ya kujipigia pass mwenyewe.
Just start from 1:00 min.

Sijatembea sana, kiasi tu kuniwezesha kuwa na judgement yangu mwenyewe bila kuangalia wangapi wanaikubali ama wanaipinga, + napenda kusimama mwenyewe, sio na crowd. Pia nimetembea vya kutosha kuniwezesha kutopagawa na compiled videos zilizopo kwenye mitandao.

Kama nilivyosema mwanzo, naheshimu mtazamo wako, ila ntabaki na wangu.
 
Last edited by a moderator:
Hahahaha, unajua jamaa nikiwawekea Video, hata hawaangalii.

Kama wangeliangalia na wakumbuke kuwa enzi Pele anacheza, mpira ulikuwa mzito na viatu vibaya, ndiyo atajua nini maana ya Pele kuitwa KING. Ukiangalia hii Video, kuna style nyingi ambazo Neymar na C Ronaldho wanazicheza leo hii.

Hii ya kupiga watu matobo, Neymar anajaribu tu ila Messi na Ronaldho wa Brazil ndiyo walizi-copy haswa. Check 2:50

Naona mpaka magoli ya animation ya Pele, namwona jamaa anasukumana tu na kudandiana na watu na magoli kama ya Stoke City.
Unasema Pele anaheshima Duniani, Maradona kuna watu walianzisha dhehebu la kumwabudu Dios, heshima hata Lunyamila anayo, what's heshima bana!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom