The hate u give little infants f's everybody (siku kama ya leo, miaka 23 iliyopita tulimpoteza 2pac)

H sanny

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2018
Posts
245
Reaction score
298
Leo September 13 ni siku ya kumbukumbu ya kifo cha aliyewahi kuwa mwanamuziki nguli wa Hip Hop nchini Marekani, Tupac Amaru Shakur ‘2 Pac’ ambaye alifariki kwa kupigwa risasi na watu wasiojulikana.

Mwanamuziki huyo alipigwa risasi mnamo tarehe 7 Septemba, 1996, Huko Nevada jiji la Las Vegas nchini Marekani na baadae siku 6 akafariki dunia akiwa anatibiwa majeraha hospitalini.

Jina lake la kuzaliwa ni Tupac Amaru Shakur alizaliwa Juni 16, 1971, Na enzi za uhai wake aliwahi kuingia kwenye kitabu cha maarufu cha rekodi duniani cha “Guinness World Records” kutokana na mauzo ya album yake kutajwa kufikia milioni 74 Dunia nzima na milioni 44 kwa mauzo ya Marekani pekee kama msanii wa muziki wa Hip Hop.

Majina mengine ya 2 Pac ni Makaveli na mashabiki wake wengi Jijini New York walimpa jina la ‘MC New York’ .

2 Pac alijizolea umaarufu mkubwa duniani kote kupitia kazi zake za muziki baada ya vibao vyake kukonga nyoyo za mashabiki wake ndani na nje ya Marekani.

Baadhi ya nyimbo za 2 Pac zilizobamba wakati wa uhai wake ni Dear Mama, California Love, Life Goes On, Hit Em Up pamoja na Hail Maily ambazo zilikuwa moto wa kuotea mbali wakati huo.

2 Pac aliacha Studio Album 10 na alizowahi kutoa kabla ya umauti ni All Eyez On Me, The Don Killuminati: The 7 day Theory na Me Against The World.

Kifo cha 2 Pac kinahusishwa na ugomvi uliokuwepo kati yake na rapa mwenzake The Notorious B.I.G ambaye pia ni marehemu kwasasa.

2 Pac na B.I.G ni miongoni mwa wana Hip Hop walioleta mapinduzi makubwa enzi za uhai wao kwenye tasnia ya muziki nchini Marekani.

"the hate u give little infants f's everybody"
ni mistari ninaoupenda saana.

niambie ni mistari gani ilikuelimisha kutoka kwa 2pac
220px-Tupac_Amaru_Shakur2.jpeg
 
“Don’t settle for less – even a genius asks questions. Be grateful for blessings. Don’t ever change, keep your essence.” — ‘Me Against The World’
 
Leo September 13 ni siku ya kumbukumbu ya kifo cha aliyewahi kuwa mwanamuziki nguli wa Hip Hop nchini Marekani, Tupac Amaru Shakur ‘2 Pac’ ambaye alifariki kwa kupigwa risasi na watu wasiojulikana.

Mwanamuziki huyo alipigwa risasi mnamo tarehe 7 Septemba, 1996, Huko Nevada jiji la Las Vegas nchini Marekani na baadae siku 6 akafariki dunia akiwa anatibiwa majeraha hospitalini.

Jina lake la kuzaliwa ni Tupac Amaru Shakur alizaliwa Juni 16, 1971, Na enzi za uhai wake aliwahi kuingia kwenye kitabu cha maarufu cha rekodi duniani cha “Guinness World Records” kutokana na mauzo ya album yake kutajwa kufikia milioni 74 Dunia nzima na milioni 44 kwa mauzo ya Marekani pekee kama msanii wa muziki wa Hip Hop.

Majina mengine ya 2 Pac ni Makaveli na mashabiki wake wengi Jijini New York walimpa jina la ‘MC New York’ .

2 Pac alijizolea umaarufu mkubwa duniani kote kupitia kazi zake za muziki baada ya vibao vyake kukonga nyoyo za mashabiki wake ndani na nje ya Marekani.

Baadhi ya nyimbo za 2 Pac zilizobamba wakati wa uhai wake ni Dear Mama, California Love, Life Goes On, Hit Em Up pamoja na Hail Maily ambazo zilikuwa moto wa kuotea mbali wakati huo.

2 Pac aliacha Studio Album 10 na alizowahi kutoa kabla ya umauti ni All Eyez On Me, The Don Killuminati: The 7 day Theory na Me Against The World.

Kifo cha 2 Pac kinahusishwa na ugomvi uliokuwepo kati yake na rapa mwenzake The Notorious B.I.G ambaye pia ni marehemu kwasasa.

2 Pac na B.I.G ni miongoni mwa wana Hip Hop walioleta mapinduzi makubwa enzi za uhai wao kwenye tasnia ya muziki nchini Marekani.

"the hate u give little infants f's everybody"
ni mistari ninaoupenda saana.

niambie ni mistari gani ilikuelimisha kutoka kwa 2pacView attachment 1206571
Wewe huo Mstari unaoupenda umekuelimisha nini Mkuu?
 
Call the cops when you see tupac
Grab your hands when you see tupac....hit em up
Kingine kibao kikali na ninacho kwa playlist ni letter to my unborn child
 
See, grab your Glocks when you see 2Pac
Call the cops when you see 2Pac, uh
Who shot me? But you punks didn't finish
Now you 'bout to feel the wrath of a menace
Nigga, I hit 'em up!

“I make mistakes but learn from everyone. And when it’s said and done. I bet this brother be a better one. If I upset you don’t stress. Never forget, that God isn’t finished with me yet.” — ‘Ghetto Gospel’
Kwa mara ya kwanza kabisa hii nyimbo niliiona C2C. Kila siku ya asubuhi walikuwa wakiipiga.
 
Rapper wangu bora kuwahi kutokea...

Kwa wale wafuatiliaji zaidi, unaweza kufuatilia hizi link mbili utapata historia ya 2pac, maisha yake, harakati zake na utata juu ya kifo chake

Utalinganisha facts then ndio ujue ni kweli alikufa au tukio lilipangwa (hivyo yuko hai bado hadi leo)

Credits: Wasafi Media
 
“Even though you’re fed up, you gotta keep your head up.” — ‘Keep Ya Head Up’
Ijapokuwa mi ni kijana ila kipindi nipo dogodogo nilikuwa nazitizama hizi nyimbo. Unanikumbusha mbali. Nilikuwa natizama hizi mpaka zikanibadilisha uzungumzaji.
 
Asànte mdau
See, grab your Glocks when you see 2Pac
Call the cops when you see 2Pac, uh
Who shot me? But you punks didn't finish
Now you 'bout to feel the wrath of a menace
Nigga, I hit 'em up!
 
Alinikosha na kibao chake Cha dear Mama

R i.p 2pac
 
"No luv from my daddy coz the coward wasn't there!
He passed away and I didn't cry! Coz my anger couldn't let me feel for stranger!"
 
And they say it's the WHITE man I should fear...

But it's my own kind doing all the killing here...
 
Back
Top Bottom