Nasema Uongo Ndugu Zangu
JF-Expert Member
- Apr 28, 2020
- 279
- 779
Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania ndugu Samia Suluhu Hassan ambaye pia ni nyota wa filamu ya Tanzania The Royal Tour ameahidi kuja na filamu nyingine itakayoitwa The Hidden Tanzania.
Rais Samia amesema filamu hiyo italenga kuonesha vivutio ambavyo havikuonekana katika filamu yakwanza hususani vivutio vilivyopo nyanda za juu kusini.
Ameyasema hayo katika ziara yake mkoani Njombe alipokuwa akizungumzia sekta ya utalii.