blogger
JF-Expert Member
- Mar 13, 2012
- 12,112
- 15,060
The Hidden Agenda. Mifisadi kaziniRais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania ndugu Samia Suluhu Hassan ambaye pia ni nyota wa filamu ya Tanzania The Royal Tour ameahidi kuja na filamu nyingine itakayoitwa The Hidden Tanzania.
Rais Samia amesema filamu hiyo italenga kuonesha vivutio ambavyo havikuonekana katika filamu yakwanza hususani vivutio vilivyopo nyanda za juu kusini.
Ameyasema hayo katika ziara yake mkoani Njombe alipokuwa akizungumzia sekta ya utalii.