Nasema Uongo Ndugu Zangu
JF-Expert Member
- Apr 28, 2020
- 279
- 779
Hahahaaa, good ideaKwenye hyo fiLamu asimsahau mtu kazi mandonga nae aweKwe
Unawahi wapi? Umbea umekujaa.Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania ndugu Samia Suluhu Hassan ambaye pia ni nyota wa filamu ya Tanzania The Royal Tour ameahidi kuja na filamu nyingine itakayoitwa The Hidden Tanzania.
Rais Samia amesema filamu hiyo italenga kuonesha vivutio ambavyo havikuonekana katika filamu yakwanza hususani vivutio vilivyopo nyanda za juu kusini.
Ameyasema hayo katika ziara yake mkoani njombe alipokuwa akizungumzia sekta ya utalii.
Mkuu kuna tatizo gani?Unawahi wapi? Umbea umekujaa.
Bila shaka ulimaanisha the hidden Na siyo didden.Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania ndugu Samia Suluhu Hassan ambaye pia ni nyota wa filamu ya Tanzania The Royal Tour ameahidi kuja na filamu nyingine itakayoitwa The Hidden Tanzania.
Rais Samia amesema filamu hiyo italenga kuonesha vivutio ambavyo havikuonekana katika filamu yakwanza hususani vivutio vilivyopo nyanda za juu kusini.
Ameyasema hayo katika ziara yake mkoani Njombe alipokuwa akizungumzia sekta ya utalii.
Awamu ya tano alikuwa waziri wa ujenzi. Awamu ya sita, ni waziri wa utalii. Hii Katiba ije hata leo!Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania ndugu Samia Suluhu Hassan ambaye pia ni nyota wa filamu ya Tanzania The Royal Tour ameahidi kuja na filamu nyingine itakayoitwa The Hidden Tanzania.
Rais Samia amesema filamu hiyo italenga kuonesha vivutio ambavyo havikuonekana katika filamu yakwanza hususani vivutio vilivyopo nyanda za juu kusini.
Ameyasema hayo katika ziara yake mkoani Njombe alipokuwa akizungumzia sekta ya utalii.
Ndivyo alivyosema kwamba zile sehemu ambazo hazikuonekana kwenye filamu ya Royal tour sasa zitaonekana kwenye the hidden film.Ninamuomba Mama ikitokea fursa hiyo Tena asiishie kuweka vivutio vya kusini tu.Ni Bora pia akatumia muda wake adhimu akaviweka vivutio na mbuga zote ambazo hazikuonyeshwa kwenye Royal Tour.,Afike hata Rubondo,Rumanyika, Burigi Chato na Kigona hifadgi ya sokwe ya Gombe.
Day[emoji1][emoji1][emoji1]Kodi zetu na tozo.. bibi keshakua Angelina Jolie
Na utalii wa tozo utakuwepo?Ndivyo alivyosema kwamba zile sehemu ambazo hazikuonekana kwenye filamu ya Royal tour sasa zitaonekana kwenye the hidden film.
Ndio ndoto zake hizoMmh Sasa naona January anaweza kuwa Rais siku moja