The Highs & Lows katika burudani na 'ubuyu' 2016

Hakuna kitu kama faru john, na wimbo wa komba ccm mbele kwa mbele 'wacha tuisome namba'.
 
Huu ubuyu wa kizanzibari kabisa uliowekewa hiriki,kungumanga,mdalasin,pilipili manga na kila aina ya viungo.
Hongera sana Nifah the Matron.
 
Safi sana umejitaidi ku-balance.

kama ningeandika mimi matukio yote ya Madale yangekuwa Negatively.
Na yale ya kariakoo yote yangekuwa Positively.

Ila nyie mpo karibu Na Mange Kimambi Na Mange yupo karibu Na Wema kwanini msimtumie Mange kumuweka sawa Wema?!
Ali Kiba kaiba mashabiki wa Wema Na ndio hao wanaomfanya atambe mpaka kimataifa sasa kwanini Wema anashindwa kutumia mashabiki wake mwenyewe kutusua japo kitaifa?!
 
Good analysis, imegusa angle muhimu. Thanks ustaadhat Nifah. Thanks The bold

Hiyo namba mbili kwenye the high....ilitakiwa iwe ya darasa.....!
The so called wimbo wa taifa

Mkataba wa Sonny labda utaanza kuleta matunda mwakani huko.

Asante sana jirani,sisi kama #TheBold's tunasema Shukraan [emoji120]

Hii ni list ya matukio muhimu,Darassa anastahili kuwekwa ktk list ya nyimbo bora za mwaka huu.
Nadhani umeelewa utofauti uliopo mpendwa.

Weka pembeni ushabiki,tuongee facts.[emoji12]
Mkataba wa Sony umeleta matunda makubwa tofauti na hapo kabla ya mkataba.
Thanks.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…