The Highs & Lows katika burudani na 'ubuyu' 2016

Ng'ombe 70 sio kitu kwetu, nawe walijua hilo kuwa tumebarikiwa. Hatujauza wala kuchinja so waweza kuja kuwachukua pamoja na waliozaliwa.
Nifah amefundwa na akafundika so ubabe kwake mwiko

Absolutely... Ila ukizingua nami nazingua mara 2 zaidi
Hahahah
 
Ngoja nikumegee siri...[emoji4]
Hii makala nilitumia masaa mawili kuiandika,nilichokaaaaaa
Uwiiiiiiiii sirudii tena kuandika makala,nawaachia wenye vipaji vyao.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji119]
Makala ijayo utatumia lisaa,
Mwishowe utakuwa expart.
Badae mkija kuzaa mwezi wa nane mtamzaa ben mtobwa kabisa
 
Absolutely... Ila ukizingua nami nazingua mara 2 zaidi
Hahahah
Hahahahahahahah
QUIGLEY unaona kauli za Dada yako.. Kufundwa gani huku.. Au ndio kufundwa na 'somo' akina "mwajumwa msambwanda" wa mwananyamala

Ndio maana inabidi niwe mbabe tu..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…