Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
One love but kule mmenitoa knock out looh jaman tujuzane nnn jamani si kila kitu utakijuaYou are welcome dearest
Haya mamaHahahahahaaaaa ile thread inahusu story za The bold ambazo huziweka ktk group la WhatsApp.
Sasa ktk lile group kuna sheria ya kutokuchat au kujadili simulizi wala makala zitakazowekwa.
Hivyo ule uzi ni maalum kwetu members wa group kuchit chat na kujadili yanayojiri ktk simulizi/makala zinazowekwa kule kwenye group.
Hope umenielewa [emoji4]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahahaaaaaaaah wewe mwendawazimu sana ujue? Mimi hata huwa sitaki kuurudia! [emoji24] [emoji85]
Halafu ujue nini?Tuzifute bwana,hazileti picha nzuri [emoji17]
Jumapili tuzisome pamoja kwa mara ya mwisho then tunazidelete.. [emoji1] [emoji1]Au tuziache tu kukeep record love [emoji4].
Si ulale?Kichwa kitajaa manundu maana ni nyingiiiiii [emoji24] [emoji24] [emoji24]
[emoji15] [emoji15] [emoji3] [emoji3]Kichwa kitajaa manundu maana ni nyingiiiiii [emoji24] [emoji24] [emoji24]
Unaanza ubabe hata mwaka hamjamaliza![emoji15] [emoji15] [emoji3] [emoji3]
What are you doing here..?? Umeniagaje??
Hii kesi tunaamka nayo asubuhi kabla ya yote [emoji35]
Shemeji nisipoleta ubabe anaweza kuanza ubabe yeye.. HahahahahaUnaanza ubabe hata mwaka hamjamaliza!
Ujue bado tunampenda ikiwa umemchoka arudi home fastaaa"""
Hahahahah.! Muone alivyofurahi..Fact [emoji108] [emoji108]
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ng'ombe 70 sio kitu kwetu, nawe walijua hilo kuwa tumebarikiwa. Hatujauza wala kuchinja so waweza kuja kuwachukua pamoja na waliozaliwa.Shemeji nisipoleta ubabe anaweza kuanza ubabe yeye.. Hahahahaha
Ukizingatia ng'ombe 70 nilizowapa, walahi ubabe ni haki yangu kuufanya..
Atakutuliza kwa tabasamu, hug na hatimaye kissHahahahah.! Muone alivyofurahi..
Una bahati nimeamka bize.. Naweka hii kiporo, jioni jiandae utafute namna ya kutuliza hasira yangu
halafu kifuatacho ITV.Atakutuliza kwa tabasamu, hug na hatimaye kiss
[emoji23] [emoji23] [emoji23]halafu kifuatacho ITV.
sijambo sana.[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sister angu hujambo!