The Hill: Wamarekani watajuta kumchagua Trump

Thank you.
 
Thank you.
I appreciate. Nikitulia nitakuja na maoni yangu mawili matatu hivi.

Jana kwenye vyombo vingi vya habari, watangazaji wengi walikuwa wakizungumza kama wagonjwa wasio na tumaini, kisa tu Trump ameshinda.

Umma unaaminishwa kwa nguvu kubwa kwamba Trump ndiye adui wao mkubwa, badala ya kutumia nafasi yao kuliunganisha taifa. Nadhani taaluma kwenye mahabari imepungua sana.
 
Well said.
 
Kuna waumini wa TAIFA teule walikuja na hoja kuwa Kamala Haris atashinda Kwa kuwa kaolewa na mume myahudi (Joke) Sasa nikirudi kwenye maoni yangu, huyoj jamaa Ana chuki na Trump, Marekani inaonywa na vyombo vingi sio rais pekeake, Chombo muhimu ni bunge
 
Kwa sisi wananchi wa kawaida ukiona kiongozi anakataliwa na kila mtu kwenye system huyo ndo unatakiwa kumng'ang'ania.

Bahati yao wamarekani zaidi ya milioni 72 wameligundua hilo na wameamua kumshika Trump kwa nguvu zote.

Sie tulishindwa kumlinda wa kwetu.
 
Well said.
 
Ni kweli kabisa. Bila bunge marekani rais anaweza akashindwa kufanya anayoyataka kwa urahisi.
 
Watanzania hawajamchagua Samia kuwa raisi wa marekani. Bali wamarekani wamemchagua Trump mmarekani kwa ajili ya wamarekani, shida iko wapi?
 
Kwa ajili ya kukomeaha ushoga acha trump ashinde
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…