The Hill: Wamarekani watajuta kumchagua Trump

Kampeni ya urais iliyojipambanua kwa chuki binafsi, vitisho vya ghasia za kisiasa na majaribio mawili ya mauaji yaliyodhibitiwa yalitamatika Jumanne katika uchaguzi uliozingatia sana utaratibu. Haijalishi matokeo huonesha nini hatimaye, azma ya Wamarekani kupiga kura ya haki na amani ni kero machoni pa watawala wa kiimla ndani na nje ya nchi.

Hiyo ndiyo takriban furaha yote ambayo Democrats (na wapenzi wa demokrasia) waitapata katika matokeo ya uchaguzi wa jana. Tumaini la mpito lililoshamiri kwenye chama baada ya kura ya maoni mashuhuri kupitia Ann Selzer jimboni Iowa iliyomwonesha Kamala Harris akimtangulia Donald Trump kwa pointi 3 bila kutarajiwa limeporomoka na kurudi kwenye uhalisia. Badala yake kuna utambuzi kwamba uwezekano wa tukio baya zaidi kuhusu demokrasia unajitokeza mubashara.

Taasisi zetu za kidemokrasia haziko tayari kwa kile kitakachofuata. Wala watu wa Marekani hako tayari pia.

Trump atakayeingia Ikulu mnamo Januari 20 ni mtu aliyejaa mitikasi ambayo haijatengamaa, aliyekaribia mno kukabiliwa na mfululizo wa hatia za jinai katika serikali ya shirikisho ambazo sasa amepewa uwezo wa kuzifuta kwa kujisamehe mwenyewe—kana kwamba makosa hayo na mengine mengi hayakuwahi kutokea. Trump atashughulikia vipaumbele vyake kama ambavyo amevishughulikia wakati wote: kutanguliza maslahi ya chama dhidi ya nchi na mambo binafsi dhidi ya umma.

Mtu mwenye hatia 34 za jinai hawezi kushinda urais katika taifa ambako imani katika taasisi ni kubwa. Ni katika jamii tu ambako mfumo wa haki umepoteza uhalali wake muda mrefu ndipo mtu mwenye rekodi kubwa ya uhalifu kama Trump kimsingi hupeta bila kutambulika. Kwamba mtu mmoja anaweza kuchezea taasisi za Marekani bila shida hivyo kwa manufaa yake mwenyewe husema mengi kuhusu hali duni ya taasisi za Marekani kama ioneshavyo pia kuhusu kuporomoka kwa maadili ya mhalifu husika.

Miaka tisa ya zama za Trump imeipopoa demokrasia yetu, na vuguvugu la MAGA la Trump limejinufaisha kwa udhaifu wa kimfumo kila wakati. Habari potofu za kisiasa ziliifurika mitandao ya kijamii inayomilikiwa na washirika wakuu wa Trump, au Trump binafsi. Wakati huohuo, Trump na wabunge watiifu wa chama cha Republican waliziteketeza amana za umma mahakamani—kwanza kwa kufanya uteuzi ili kujaza nafasi wazi halali katika Mahakama Turufu, na baadaye kwa kuwahimiza wafuasi wake kuwachukia na kutowaamini si tu majaji walioendesha kesi yake bali pia mfumo mzima wa haki ^uliochakachuliwa.^

Trump sasa anatazamiwa kurejea Ikulu, na wala hajaficha malengo yake makuu kwa muhula wa pili: kutumbua utumishi wa umma, kuharibu uhuru wa Kitengo cha Haki na kusaka kisasi cha kisiasa na kisheria dhidi ya orodha yake ndefu ya maadui binafsi. Kwa kuzingatia matokeo ya uchaguzi wa jana, Wamarekani wengi wana shauku ya kuona Trump akifanya hivyo haswa.

Rais wa zamani na mtarajiwa sasa anarithi taifa lililodhoofishwa sana na nembo yake mwenyewe ya siasa yenye sumu. Taifa letu lililogawanyika na lililochoka sasa litahitaji kujihamia dhidi ya kurupushani (mihemko) ya mara kwa mara isiyofuata sheria kutoka kwa rais ambaye pia, kwa sababu ya Mahakama Turufu, kiutendaji ana kinga ya mashtaka kwa kitendo chochote anachofanya. Endapo muhula wa kwanza wa Trump ulituonesha chochote, basi hatutahitaji kusubiria muda mrefu ili kushuhudia mtanziko wetu unaofuata wa kikatiba.

Waumini wa utawala wa sheria wanaelekea kwenye kipindi kigumu cha miaka minne, kwa sababu ingawa Trump alijipinga mara nyingi sana wakati wa hizi mbio za kampeni, kamwe hakuwahi kuyumba katika kuuchukia utawala wa sheria au kuwahusudu watawala mahimla wenye nguvu. Wajumbe mahabari (press, vyombo vya habari) wanaweza kumtarajia Trump angalau ajaribu kutimiza ahadi yake aliyoirudia mara kwa mara ya kuandika upya masuala ya kitaifa yahusuyo uhuru wa mahabari na sheria za kashfa. Sisi wengine tutakuwa pamoja kwenye hiyo safari ngumu na yenye tafrani.

Ni muhimu kwamba Trump alishinda wadhifa wake katika uchaguzi huru na wa haki. Ni muhimu kwamba watu huru walichagua kwa hiari kumvika Trump madaraka ambayo bila shaka kabisa atayapujua kwa namna nyingi sana na batilifu. Nchi yetu ilifanya uamuzi wa kutembea kwenye njia ya giza ya chuki na njama za Trump. Tutakuja kujutia.
Thank you.
 
Thank you.
I appreciate. Nikitulia nitakuja na maoni yangu mawili matatu hivi.

Jana kwenye vyombo vingi vya habari, watangazaji wengi walikuwa wakizungumza kama wagonjwa wasio na tumaini, kisa tu Trump ameshinda.

Umma unaaminishwa kwa nguvu kubwa kwamba Trump ndiye adui wao mkubwa, badala ya kutumia nafasi yao kuliunganisha taifa. Nadhani taaluma kwenye mahabari imepungua sana.
 
I appreciate. Nikitulia nitakuja na maoni yangu mawili matatu hivi.

Jana kwenye chombo kwenye vyombo vingi vya habari, watangazaji wengi walikuwa wakizungumza kama wagonjwa wasio na tumaini, kisa tu Trump ameshinda.

Umma unaaminishwa kwa nguvu kubwa kumwona Trump kama adui, badala ya kutumia nafasi yao kuliunganisha taifa. Nadhani taaluma kwenye mahabari imepungua sana.
Well said.
 
Kuna waumini wa TAIFA teule walikuja na hoja kuwa Kamala Haris atashinda Kwa kuwa kaolewa na mume myahudi (Joke) Sasa nikirudi kwenye maoni yangu, huyoj jamaa Ana chuki na Trump, Marekani inaonywa na vyombo vingi sio rais pekeake, Chombo muhimu ni bunge
 
Hii ni kwa mujibu wa Max Burns-The Hill.

Ni opinion yake…Naomba watakaochangia mada hii, wasome kwanza hiyo article. Na wafanye kujibu accordingly.

Kwangu binafsi, ninaamini kuwa ushindi wa Trump, umewaepushia wamarekani ugomvi mkubwa sana wa wenyewe kwa wenyewe. Tena kuna wanaoamini “civil war”, ambapo wala siyo jambo geni. Wamarekani wameshawahi kupigana wenyewe kwa wenyewe na kuuwana wengi mno. Vita ya wenyewe kwa wenyewe Marekani siyo jambo geni hata kidogo.

Kwasababu Trump alikuwa tayari ameshahukumiwa kwenye kesi nyingi sana..https://www.npr.org/2024/05/30/g-s1-1848/trump-hush-money-trial-34-counts

Ina maana kama angekosa urais, maisha yake yangekuwa ya tofauti sana na huu uchaguzi kwake ulikuwa “do or die”, na kiukweli alikuwa ameshawatayarisha wafuasi wake kuleta vurug endapo angepoteza uchaguzi huu.

Tayari hata jeshi la marekani lilikuwa mtaani kujiandaa. Thankfully ameshinda😀👍🏽

Sasa makala hii, inazungumzia consequences za uongozi ujao wa Trump, kwamba mabadiliko mengi atakayoyafanya, yatakuwa kinyume na utawala wa kidemokrasia nk nk.

Jisomeee kisha toa maoni yako au jibu hoja za mwandishi huyo.

Natanguliza shukrani kwa wale wenye uelewa wa kutosha na kuweza kuchangia kwa hoja badala ya vihoja.

A presidential campaign defined by personal hatreds, threats of political violence and two foiled assassination attempts ended on Tuesday in a mostly orderly election. No matter what the results ultimately show, Americans’ commitment to a fair and peaceful vote is a thumb in the eye to authoritarians both at home and abroad.

That’s about all the joy Democrats (and lovers of democracy) will find in yesterday’s election results. The fleeting optimism that washed over the party after Ann Selzer’s storied Iowa poll showed Kamala Harris unexpectedly leading Donald Trump by 3 points has crashed back to reality. In its place is the realization that democracy’s worst-case scenario is unfolding in real time.

Our democratic institutions are not ready for what comes next. Neither are the American people

The Trump who will walk into the White House on Jan. 20 is a man steeped in unsettled vendettas, who came within a hair’s breadth of a string of federal felony convictions that he is now empowered to wipe away with a self-pardon — as if those offenses and so many others had never even happened. Trump will see his priorities as he has always seen them: party over country and self over all.

A man with 34 felony convictions can’t win the presidency in a nation where trust in institutions is high. It’s only in a culture where the justice system has long since lost its legitimacy that a man with such a thick criminal record as Trump glides by relatively unremarked. That one man can so effortlessly game American institutions to his own benefit says as much about the decrepit state of America’s institutions as it does about the moral decrepitude of the crook.

The nine years of the Trump era have taken a bat to our democracy, and Trump’s MAGA movement has exploited the nation’s systemic weakness at every turn. Political misinformation flooded social media networks owned by Trump’s key allies, or by Trump personally. Meanwhile, Trump and compliant Republican lawmakers torched public trust in the courts — first by appointing an ethically vacantSupreme Court, and later by urging his followers to hate and distrust not only the judges who tried him but the entire “rigged” justice system.

Trump is now set to return to the White House, and he’s made no secret of his lofty goals for a second term: gutting the civil service, destroying the independence of the Justice Department and seeking political and legal revenge on his lengthy list of personal enemies. Judging by yesterday’s election returns, a majority of Americans are eager to see Trump do exactly that.

The former and future president now inherits a nation deeply weakened by his own toxic brand of politics. Our divided and exhausted nation will now need to fend off the constant extralegal whims of a president who is also, thanks to the Supreme Court, functionally immune from prosecution for any act he undertakes. If Trump’s first term was any indication, we won’t need to wait long for our next constitutional crisis.

Believers in the rule of law are in for a rough four years, because though Trump contradicted himself countless times during this marathon campaign, he never wavered in his distaste for the rule of law or his admiration for strongman autocrats. Members of the press can expect Trump to at least try making good on his oft-repeated pledge to rewrite the nation’s press freedom and libel laws. The rest of us will be along for the bumpy and chaotic ride.

It matters that Trump won his office in a free and fair election. It matters that free people voluntarily chose to cloak Trump in power he will almost certainly abuse in far-reaching and destructive ways. Our country made the choice to walk down the dark path of Trump’s resentments and conspiracies. We will come to regret it.

Kwa sisi wananchi wa kawaida ukiona kiongozi anakataliwa na kila mtu kwenye system huyo ndo unatakiwa kumng'ang'ania.

Bahati yao wamarekani zaidi ya milioni 72 wameligundua hilo na wameamua kumshika Trump kwa nguvu zote.

Sie tulishindwa kumlinda wa kwetu.
 
Ni kweli kabisa. Bila bunge marekani rais anaweza akashindwa kufanya anayoyataka kwa urahisi.
 
Watanzania hawajamchagua Samia kuwa raisi wa marekani. Bali wamarekani wamemchagua Trump mmarekani kwa ajili ya wamarekani, shida iko wapi?
 
Kwa ajili ya kukomeaha ushoga acha trump ashinde

Back
Top Bottom