Kuwa na subira muda husema kweli, hiyo siku ya Yesu kuja itafika na hakuna yeyote ile aijuae haijalishi itachukua muda gani Lakini itafika.
Acha kujiuliza maswali kuhusu Mungu alitoka wapi, Vitu Mungu alivyovikalia kimya ni vizuri kuvikalia kimya pia kwani hapendezwi ukianza kumhofia na inakuwa ni kufuru kwake.