Alpha M
Senior Member
- Nov 8, 2016
- 165
- 156
Wanasayansi wenyewe wanasema "energy and mass can never be created nor destroyed" pia wanakubali hivi vitu viwili vilikuepo tu hakuna alieviumba
Ikiwa "energy and mass" zipo milele hivyo naamini wataweza kukubali Mungu yupo milele hana mwanzo wala mwisho maana sio lazima kila kitu kiwe na sifa ya mwanzo na mwisho.
Asante