Hao watu hawakuwepo hata miaka milioni moja iliyopita, kwa mujibu wa accepted science.
Milioni, si bilioni. Bilioni moja ina milioni elfu moja. Hao watu hawakuwapo hata miaka milioni moja iliyopita, sasa mtu anasema walikuwepo miaka milioni elfu tatu iliyopita!
Watu wanajua tofauti ya milioni na bilioni?
Homo Sapiens emerged 300,000 years ago at the earliest. If I am being very generous.
Sasa linganisha 300,000 years na 3 billion years.
The claim is off by a factor of 10,000 if I am being overly generous.
Yani mtu anayeilinganisha 1 na 10,000 kwa kufanya makosa hivyo sina muda wa kumsoma.