Waterbender
JF-Expert Member
- Oct 2, 2018
- 7,573
- 10,063
- Thread starter
-
- #21
over 3 billion years cab be 3.3,3.5or 3.8 billion years sasa ww ulivyo ona over 3 billion years okajua 5 au, any way sijui uliwaza nn ๐. nauhakika ukisoma historia yote unapata kituNimeishia hapa.
"The earth is 4.5 billion years old. The Khoi and San (Yellow or light skinned Africans) existed for over 3 billion years on Earth."
Sina muda wa kupoteza.
Hao watu hawakuwepo hata miaka milioni moja iliyopita, kwa mujibu wa accepted science.over 3 billion years cab be 3.3,3.5or 3.8 billion years sasa ww ulivyo ona over 3 billion years okajua 5 au, any way sijui uliwaza nn ๐. nauhakika ukisoma historia yote unapata kitu
uaongelea accepted science wakati hapo tunazungumzia miaka billion 3 ilio pita, unaongelea accepted science inayo kuwa approved na technologia yetu ambayo hatuwezi jenga hata pyramids na zipo, tuaziona reamls portal sehemu kama bermuda tunashangaa, yan kwenye mambo haya science ya viumbe vilaza kana binadamu haijui kitu kabixaa yan zero afadhali diniHao watu hawakuwepo hata miaka milioni moja iliyopita, kwa mujibu wa accepted science.
Homo Sapiens emerged 300,000 years ago at the earliest. If I am being very generous.
Sasa linganisha 300,000 years na 3 billion years.
The claim is off by a factor of 10,000 if I am being overly generous.
Yani mtu anayeilinganisha 1 na 10,000 kwa kufanya makosa hivyo sina muda wa kumsoma.
Kwa nini unasema hatuwezi jenga pyramid wakati tumejenga maghorofa makubwa kuliko pyramids?uaongelea accepted science wajati hapo tunazungumzia miaka billion 3 ilio pita, unaongelea accepted science inayo kuwa approved na technologia yetu ambayo hatuwe jenga pyramids na zipo, tuaziona reamls portal sehemu kama bermudu tunashangaa, yan kwenye mambo haya science ya viumbe vilaza kana binadadamu haijui kitu kabixaa yan zero afadhali dini
Technology ilio tumika kuchonga na kunyanyua mawe ya uzito ule sisi hatuna mpaka leoKwa nini unasema hatuwezi jenga pyramid wakati tumejenga maghorofa makubwa kuliko pyramids?
Tujenge pyramid ili litatue tatizo gani?
Sio tu tunaweza kujenga ma pyramid, tunaweza kuyajenga kwa haraka zaidi.
Watu wamejenga Burj Khalifa limepqnda juu zaidi ya mara sita ya pyramid kubwa kabisa.
Kwa nini unasema hatuwezi kujenga ma pyramid?
This is not factual.
You are wrong again.
Technology gani?Technology ilio tumika kuchonga na kunyanyua mawe ya uzito ule sisi hatuna mpaka leo
Mkuu huwezi kulinganisha technology iliyo tumika kujenga pyramid na technology iliyo tumika kujenga burj khalifa.Kwa nini unasema hatuwezi jenga pyramid wakati tumejenga maghorofa makubwa kuliko pyramids?
Tujenge pyramid ili litatue tatizo gani?
Sio tu tunaweza kujenga ma pyramid, tunaweza kuyajenga kwa haraka zaidi.
Watu wamejenga Burj Khalifa limepanda juu zaidi ya mara sita ya pyramid kubwa kabisa.
Kwa nini unasema hatuwezi kujenga ma pyramid?
This is not factual.
You are wrong again.
Vipi kuhusu ushahidi kwamba binadamu amekuwa akiishi kwenye sayari hii ya dunia toka miaka milioni saba iliyo pita? Ur talking about 300000 yrs ago. Nope mkuu that's very recentHao watu hawakuwepo hata miaka milioni moja iliyopita, kwa mujibu wa accepted science.
Milioni, si bilioni. Bilioni moja ina milioni elfu moja. Hao watu hawakuwapo hata miaka milioni moja iliyopita, sasa mtu anasema walikuwepo miaka milioni elfu tatu iliyopita!
Watu wanajua tofauti ya milioni na bilioni?
Homo Sapiens emerged 300,000 years ago at the earliest. If I am being very generous.
Sasa linganisha 300,000 years na 3 billion years.
The claim is off by a factor of 10,000 if I am being overly generous.
Yani mtu anayeilinganisha 1 na 10,000 kwa kufanya makosa hivyo sina muda wa kumsoma.
Nimeuliza technology gani?Mkuu huwezi kulinganisha technology iliyo tumika kujenga pyramid na technology iliyo tumika kujenga burj khalifa.
U know ukubwa sio tatizo mkuu ishu ni complexity ya jengo lenyewe..
For a heavenly body to be given the title of planet the size does not matter, what it matters is how it orbits the sun.
Our moon is bigger than pluto but pluto will remain to be a planet and our moon will remain to be a moon.
Nimeuliza technology gani?
Sijajibiwa.
Ina maana unabishana sana kwa kitu ambacho hata hukijui.
Kwa nini technology iliyotumika iwe muhimu kuliko technology tunayojua ipo sasa?
Sasa hivi tuna vyombo vinaenda interstellar space. Hivi havina mjadala.
Voyager 1 and 2.
Hao waliojenga pyramids walituma vyombo kwenda interstellar space? Unaweza kuthibitisha hilo?u
Ushahidi huo uko wapi?Vipi kuhusu ushahidi kwamba binadamu amekuwa akiishi kwenye sayari hii ya dunia toka miaka milioni saba iliyo pita? Ur talking about 300000 yrs ago. Nope mkuu that's very recent
This is speculation and pseudoscience. Huna ushahidi wowote kwenye hili.U can know the artist by studying his art.
Alien technology
๐๐๐ unazunguamzia interstellar space, kasomr tablet za ghaza kuna michoro ya space craft na space suites ya miaka mingi zaidi BC spicies ya binadam ni ya juzi tuNimeuliza technology gani?
Sijajibiwa.
Ina maana unabishana sana kwa kitu ambacho hata hukijui.
Kwa nini technology iliyotumika iwe muhimu kuliko technology tunayojua ipo sasa?
Sasa hivi tuna vyombo vinaenda interstellar space. Hivi havina mjadala.
Voyager 1 and 2.
Hao waliojenga pyramids walituma vyombo kwenda interstellar space? Unaweza kuthibitisha hilo?
Nikasome wapi? Weka ushahidi hapa. Umeshindwa kuweka hata link?๐๐๐ unazunguamzia interstellar space, kasomr tablet za ghaza kuna michoro ya space craft na space suites ya miaka mingi zaidi BC spicies ya binadam ni ya juzi tu
kumbe ndo uko mweupe ivo, am Done๐คจNikasome wapi? Weka ushahidi hapa. Umeshindwa kuweka hata link?
Nikichora michoro ya space craft na "space suites" maana yake ni nini?
Maana yake nimesafiri mpaka kufika interstellar space?
Nikasome wapi? Weka ushahidi hapa. Umeshindwa kuweka hata link?
Nikichora michoro ya space craft na "space suites" maana yake ni nini?
Maana yake nimesafiri mpaka kufika interstellar space?
Mweupe ni wewe unayeweka mambo juu juu. Tena si mweupe tu, bali mvivu pia.kumbe ndo uko mweupe ivo, am Done๐คจ
Ahsante kwa kuniita.