Lord Denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 23,491
- 57,973
Sala
Mungu Wabariki hawa Watu,
Zibariki familia zao,
Vibariki vizazi vyao hata cha 5 na cha 6,
Bariki kazi za mikono yao.
Hawa watu wameleta Upinzani wa kweli nchini Tanzania. Upinzani usioangalia maslahi binafsi bali maslahi ya Taifa na Wananchi wote.
Upinzani wenye lengo la kuwakomboa kweli Wananchi dhidi ya Unyonyaj, Uonevu na Umaskini wa Kutisha.
Upinzani usio na uchu wa madaraka, Upinzani usio na uchu wa fedha na mali.
Upinzani wenye kutetea kweli na haijalishi hiyo kweli itawaumiza au la.
Sasa Tanzania tumepata Wanasiasa wanaowatizama Wananchi kweli na sio wao na familia zao.
Eee Mungu usikie kuomba kwetu!
Amina