Lord Denning JF-Expert Member Joined Jun 3, 2015 Posts 23,491 Reaction score 57,973 May 13, 2025 #1 Sala Mungu Wabariki hawa Watu, Zibariki familia zao, Vibariki vizazi vyao hata cha 5 na cha 6, Bariki kazi za mikono yao. Hawa watu wameleta Upinzani wa kweli nchini Tanzania. Upinzani usioangalia maslahi binafsi bali maslahi ya Taifa na Wananchi wote. Upinzani wenye lengo la kuwakomboa kweli Wananchi dhidi ya Unyonyaj, Uonevu na Umaskini wa Kutisha. Upinzani usio na uchu wa madaraka, Upinzani usio na uchu wa fedha na mali. Upinzani wenye kutetea kweli na haijalishi hiyo kweli itawaumiza au la. Sasa Tanzania tumepata Wanasiasa wanaowatizama Wananchi kweli na sio wao na familia zao. Eee Mungu usikie kuomba kwetu! Amina
Sala Mungu Wabariki hawa Watu, Zibariki familia zao, Vibariki vizazi vyao hata cha 5 na cha 6, Bariki kazi za mikono yao. Hawa watu wameleta Upinzani wa kweli nchini Tanzania. Upinzani usioangalia maslahi binafsi bali maslahi ya Taifa na Wananchi wote. Upinzani wenye lengo la kuwakomboa kweli Wananchi dhidi ya Unyonyaj, Uonevu na Umaskini wa Kutisha. Upinzani usio na uchu wa madaraka, Upinzani usio na uchu wa fedha na mali. Upinzani wenye kutetea kweli na haijalishi hiyo kweli itawaumiza au la. Sasa Tanzania tumepata Wanasiasa wanaowatizama Wananchi kweli na sio wao na familia zao. Eee Mungu usikie kuomba kwetu! Amina
N NABII MTARAJIWA JF-Expert Member Joined Sep 11, 2024 Posts 878 Reaction score 1,201 May 13, 2025 #2 Sawa
Lord Denning JF-Expert Member Joined Jun 3, 2015 Posts 23,491 Reaction score 57,973 May 13, 2025 Thread starter #3 NABII MTARAJIWA said: Sawa Click to expand... Na wote tuseme amina
R Rabbon JF-Expert Member Joined Apr 16, 2022 Posts 25,937 Reaction score 41,161 May 13, 2025 #4 Ni vyema kuweka nguvu kwenye taasisi imara, Watu hawaaminiki, cc:Zitto,Mdee,Mbowe nk nk.
Lord Denning JF-Expert Member Joined Jun 3, 2015 Posts 23,491 Reaction score 57,973 May 13, 2025 Thread starter #5 Rabbon said: Ni vyema kuweka nguvu kwenye taasisi imara, Watu hawaaminiki, cc:Zitto,Mdee,Mbowe nk nk. Click to expand... Na hawa ndo Wanajenga Taasisi imara. Kwa ghiriba za CCM, siasa zetu zinahitaji sana Watu imara. Usipokuwa imara watakununua na kukufanya uwe pandikizi mapema sana.
Rabbon said: Ni vyema kuweka nguvu kwenye taasisi imara, Watu hawaaminiki, cc:Zitto,Mdee,Mbowe nk nk. Click to expand... Na hawa ndo Wanajenga Taasisi imara. Kwa ghiriba za CCM, siasa zetu zinahitaji sana Watu imara. Usipokuwa imara watakununua na kukufanya uwe pandikizi mapema sana.
Lord Denning JF-Expert Member Joined Jun 3, 2015 Posts 23,491 Reaction score 57,973 May 15, 2025 Thread starter #6 NABII MTARAJIWA said: Sawa Click to expand... Mungu awabariki sana hawa watu