Teko Modise
JF-Expert Member
- May 20, 2017
- 2,331
- 7,733
Umri baba yeye ndo anakumbuka hao WA 1990 si kosa lake ingawa nao walisumbua AfricaKikosi kilichotamba sio hiki, ni kile kilichocheza kombe la Dunia 1990, Argentina na Diego Maradona wao walilala goli Moja bila huku wao wakiwa mabingwa watetezi. Humo kikosini walikuwemo, golie Thomas Nkono, Emile Mbou Mbou, Stevine Tataw(captain) , Emmanuel Jorome Kunde, Mapacha Andre kana Biyik na Francois Biyik, Paul Lois Mfede, Middle hatari Cyril Makanaki na Mkongwe Roger Milla. Siku hiyo Maradona na Cladio Cannigia waliloa licha ya Cameroon kucheza pungufu ya wachezaji wawili
OK kumbe wengine tumeshakuwa wahenga, Ila hicho kikosi alichoweka anatakiwa akidedicate kwa huyo no. 8 Marc Vivien Foe, R.I.P ChampUmri baba yeye ndo anakumbuka hao WA 1990 si kosa lake ingawa nao walisumbua Africa
mpaka pepe kale akawatungia wimbo mamaeeeeeeeKikosi kilichotamba sio hiki, ni kile kilichocheza kombe la Dunia 1990, Argentina na Diego Maradona wao walilala goli Moja bila huku wao wakiwa mabingwa watetezi. Humo kikosini walikuwemo, golie Thomas Nkono, Emile Mbou Mbou, Stevine Tataw(captain) , Emmanuel Jorome Kunde, Mapacha Andre kana Biyik na Francois Biyik, Paul Lois Mfede, Middle hatari Cyril Makanaki na Mkongwe Roger Milla. Siku hiyo Maradona na Cladio Cannigia waliloa licha ya Cameroon kucheza pungufu ya wachezaji wawili
Song hakuwepo kwenye kikosi cha 1990Namwona Song beki aliyekuwa kisiki kabisa, indomitable lions = simba wasioshindika
Nimezungumzia kikosi hikiSong hakuwepo kwenye kikosi cha 1990
Aliyevaa jezi no. 8 ni Geremy NjitapOK kumbe wengine tumeshakuwa wahenga, Ila hicho kikosi alichoweka anatakiwa akidedicate kwa huyo no. 8 Marc Vivien Foe, R.I.P Champ
Ni mechi inayokumbukwa jinsi Cameroon walivyotumia mbinu, nguvu na ustadi mkubwa sana wa kuwadhibiti mabingwa watetezi.Kikosi kilichotamba sio hiki, ni kile kilichocheza kombe la Dunia 1990, Argentina na Diego Maradona wao walilala goli Moja bila huku wao wakiwa mabingwa watetezi. Humo kikosini walikuwemo, golie Thomas Nkono, Emile Mbou Mbou, Stevine Tataw(captain) , Emmanuel Jorome Kunde, Mapacha Andre kana Biyik na Francois Biyik, Paul Lois Mfede, Middle hatari Cyril Makanaki na Mkongwe Roger Milla. Siku hiyo Maradona na Cladio Cannigia waliloa licha ya Cameroon kucheza pungufu ya wachezaji wawili
England nae akaenda kufa nusu fainali kwa Germany.Lakini walitolewa na england kwenye robo fainali kwa zengwe goli lilifungwa na Gary lineker iliuma sana
OK Nilichanganya mkuuAliyevaa jezi no. 8 ni Geremy Njitap
Aliyevaa jezi no. 17 ni Marc Vivien Foe (r.i.p)
Jaques song 'oo, jules onana, Thomas libih, Jean claud pagal, alphonse yombi hiyo cameroon ya ukweliEngland nae akaenda kufa nusu fainali kwa Germany.
Na moja ya tukio la kukumbukwa katika Kombe la Dunia la mwaka 1990 ni Paul Gascoine " Gazza " alipotoa machozi mara baada ya kupata kadi ambayo ingemfanya akose Fainali ya Kombe la Dunia endapo England kama wangemfunga Ujerumani lakini bahati haikuwa yao.
Hii picha ya kikosi cha 1990Nimezungumzia kikosi hikiView attachment 637598
Sio kikosi cha 1990Hii picha ya kikosi cha 1990
Rigobert song hajafa bado yuko hai kwa sasa ni kocha wa kikosi kitakachoshiriki michuano ya chan,Ilikuwa balaa hapo,ndiefi,ligobert song r.i.p macvivian foe r.i.p ,samwel etoo,jeremi njitap n.k ilikuwa balaa