Teko Modise
JF-Expert Member
- May 20, 2017
- 2,331
- 7,733
Wale wapenzi wa soka mpo? wale mashabiki wa Cameroon ya miaka ile mpo? Njooni tuwakumbuke mashujaa hawa wa kikosi hiki kilichojizolea mashabiki mwanzoni mwa miaka ya 2000. Ulikuwa wapi wakati jamaa wakitamba? Share kumbukumbu zako hapa...