Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hyu aamini mungu hyuWanna challenge you!
Nitaanza hivi ili uelewe swali langu..
Kama 1+1=2 nikikuambia utafute usahihi wa hiyo hesabu hapo utanieleza kila alama imesimama kama nini.. ndio maana jibu lake likawa hilo kama linavyoonekana..
sasa kwa kutumia formula Kama hiyo nielezee nini usahihi wa wewe kuandika kuwa "Mungu katuumba ili tumwabudu na kumtumikia"....???
Kisha nieleze usahihi wa swala lako Ni kivipi kuwe na lengo la maisha(sisi kuishi)...??
Nasubiri majibu..
Mzao wa kwanza???Ww ni mzao wa kwanza.?
Yani ukitaka kujua unauhusiano mzuri na Mungu fanya jambo lisilo zuri Roho itavyokusuta na amani inatoweka mpaka uombe Toba ya kweli ndio unakuwa sawa.Ni ukweli kabisa,na ukitaka kujua uhusiano wako naMungu uko vipi. Ukitaka kufanya jambo ambalo sio zuri wala roho haikusuti (Feeling Guilty).
Hua nikijisikia hivyo sikanyagi kanisani. Nasikia kama wote wananitazama mimiYani ukitaka kujua unauhusiano mzuri na Mungu fanya jambo lisilo zuri Roho itavyokusuta na amani inatoweka mpaka uombe Toba ya kweli ndio unakuwa sawa.