The Inner voice: Sauti ndogo iliyo ndani mwetu ikitueleza kusudi la maisha yetu

Hyu aamini mungu hyu
 
Hiyo sauti huwezi isikia kama huna ukaribu na Mungu...
Ni ukweli kabisa,na ukitaka kujua uhusiano wako naMungu uko vipi. Ukitaka kufanya jambo ambalo sio zuri wala roho haikusuti (Feeling Guilty).
 
Yani ukitaka kujua unauhusiano mzuri na Mungu fanya jambo lisilo zuri Roho itavyokusuta na amani inatoweka mpaka uombe Toba ya kweli ndio unakuwa sawa.
 
Hua nikijisikia hivyo sikanyagi kanisani. Nasikia kama wote wananitazama mimi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…