Monetary doctor
JF-Expert Member
- Oct 20, 2022
- 3,711
- 6,762
M
Mwa******li anao hawachii 😂😁😁😁 ukiingia first year semester ya kwanza, utaona mambo yanaendaenda tu, mara welcom first year part, mara sijui IFMSO part ya nini sijui. mara unashangaa test 1, hujakaa sawa test 2, mara huna marks za presentation ya tutorial. hujakaa sawa coursework una incomplete hukufanya quiz. umepamba kupata zero ya quiz final hiyoooo. matokeo yanatoka wanao wa karibu 7 wamedisco, mnaanza kuona group za tutorial zinapungua kutoka 5 hadi 3 😂😂😂 hapo ndo akili inakaa sawa mnakutana mwezi wa tisa kwenye september conference, mwamba ana sup zake kama 6 hivi, na Accounting ndo huwa inashika wengi