The internet is undefeated: A painful lesson

The internet is undefeated: A painful lesson

Walisema yupo vizuri na anachapa kazi, tukasitisha MAOMBEZI... ona sasa!!
 
Wajifunze kuwa smart , taratibu za kikatiba zisiyumbishwe na maneno ya watu mtandaoni , walichokuwa wanaficha kuhusu Hali ya Afya ya Raisi ni nini sasa , hata kilichomuua raisi nafkri ni Ile Nia ya kuwaoutclass wanaompinga kwamba Aumwe kimya kimya apone kimya kimya atokee kukanusha tetesi hvyo watu wamshangilie , na imegharimu uhai wa Raisi , so sad Kwa kweli...

Mtu kaumwa , kazidiwa pandisha ndege peleka hospital za kibabe duniani huko akafe mikononi mwa madaktari bingwa au apone .... Kujifungia fungia ndani hamna kitu aisee kisa unaogopa watakucheka sababu ya misimamo yako aaaah
Mkuu nakuunga mkono asilimia 20,000....eti Raisi anaenda kutibiwa hospital za uchochoroni kisa hawataki watu wajue kuwa anaumwa....ujinga mtupu. Kwea pipa nenda kwa wataalamu wa dunia huko...ukipona heri ukifa basi ila tunasema rais kafia kwenye mikono ya wababe wa dunia..siyo Mzena...Yaani nimekerekq Sana japo nilikuwa simpendi kabisa Jiwe ila nimejijuta tu nimekerekq balaa...yaani Rais wa nchi anakufa Kama Kuku???
 
Ilisikitisha kuona serikali ikishindana na tetesi za mtandaoni ambazo hatimaye zimekuja kudhihirika zilikuwa za kweli.

Watu wa Mtandaoni ambao kimsingi ndo waliokuwa wanatupatia taarifa za hali ya marehemu Rais Magufuli [hata kama kila detail haikuwa sahihi], wamejiongezea heshima ya kuaminika na watu ilhali serikali ikipoteza uaminifu.
I bet many details were correct!! Ikiwa walidanganya mchana kweupe, tena mbele ya wananchi, nini kitawazuia kudanganya kwa yale yaliyosemwa na Samiah Suluhu usiku uliopita!! Kama issue ya Mzena, watu walishaongea tangu last week kwamba Mheshimiwa hayupo Nairobi wala Uchina bali yupo Mzena!!! Na Kama Mama Samiah aliweza kutueleza "vimafua mafua vya hapa na pale" jana wasingeshindwa kusema kwamba Mheshimiwa kafa kwa ugonjwa wa moyo!!
 
Kama unaamini aliumwa na kafika ndani ya nchi basi hata maneno ya Majaliwa uliyaamini.
 
I bet many details were correct!! Ikiwa walidanganya mchana kweupe, tena mbele ya wananchi, nini kitawazuia kudanganya kwa yale yaliyosemwa na Samiah Suluhu usiku uliopita!! Kama issue ya Mzena, watu walishaongea tangu last week kwamba Mheshimiwa hayupo Nairobi wala Uchina bali yupo Mzena!!! Na Kama Mama Samiah aliweza kutueleza "vimafua mafua vya hapa na pale" jana wasingeshindwa kusema kwamba Mheshimiwa kafa kwa ugonjwa wa moyo!!
I can’t even argue with that....could very well be true!
 
Nchi iliyodai imeishinda Korona, na sasa Korona inaenda kuua Safu yote ya uongozi wa juu wa nchi , naskia viongozi wa juu ambao hawaonekani onekani wapo Hoi vitandani .... Ifikie hatua waache ushamba , Taifa linakuwa kituko na mithali Kwa walimwengu
Balaa
 
So bizarre!
Absolutely...

Hii mambo ya serikali ya iliyokuwa chini ya "Magufuli" inafanyika "in a bizarre way"; in a very unusual way, in a extravagantly way...

Mama ana kazi ngumu kuuondoa utamaduni huu mbaya kabisa kwa sababu " the obstacle is out of the way...!"
 
Problem is not kutoa taarifa; Utaratibu unasemaje kuhusu kutoa taarifa? hapo nadhani ndio shida; Hata hao waliokamatwa watabanwa hapo
Utawabana ili iweje Sasa....mtu kashafariki unawabana ili isaidie nn Sasa...umungu mtu ndio shida hapa...hata watoa taarifa rasmi nadhani wakisita kufanya hvyo wakiogopa kwamba mh akipona wanaweza poteza nafasi zao kwa kutoa taarifa kuwa mkuu wa kaya anaumwa.
 
Mbona wasibanwe kwanza VP na PM kwa kusema UONGO?
Kaka Problem sio uongo au Ukweli; Problem ni utoaji wa taarifa; Inawezekana PM na VP wao ni subordinate wa karibu zaidi na mzee; Hivyo kumtolea taarifa, kusema kwamba Rais kasema ivi na hivi hiyo ni kawaida maana wanamwakilisha; Ila mwenzangu na mimi wewe nani amekupa usemaji???
Hapo ndo shida
 
Rais ni mtumishi wa wananchi. Kila mwananchi ana haki na uhalali wa kuhoji uwepo wa rais.
 
Rais ni mtumishi wa wananchi. Kila mwananchi ana haki na uhalali wa kuhoji uwepo wa rais.
Kaka Mkubwa Ishu sio Kuhoji kwenye hiyo maelezo yangu; Ishu wametoa taarifa; Ambazo Jeshi la Polisi walisema ni Uzushi; Wengi walikuwa wanahoji; Ila kuna watu walikuwa wanaongea kwamba amekufa etc. Hii ndo concern yangu; hata mimi japo nipo mbali lakini nilikuwa natamani kufahamu alipo.
 
Kayafa kafa![emoji1][emoji1][emoji1]Shangazi mimi nina furaha ya ajabu,kwa mara ya kwanza leo nimejikuta napiga Komoni baada ya Bia,Konyagi na K-vant kushindwa kufua dafu!Kwa mara ya kwanza katika historia ya maisha yangu furahaa imeninyima usingizi,leo usiku kucha sijaweza kulala.Nilikuwa macho kodo![emoji23]

Ni wengi sio peke yako ndugu
Ila naamini kweli Mungu yupo na anasikia maombi yetu,hii dunia tunapita tu hakuna atakae ishi milele,pumzi na uhai si mali yetu,tusiishi kama vile sisi ni miungu watu,Hope hili somo limesomeka kwa wengi
 
Back
Top Bottom