Intelligence Justice
JF-Expert Member
- Oct 23, 2020
- 3,443
- 4,006
You are right timely information sharing along the pyramid level of community interaction eliminates rumour mongering opportunity that triggers unnecessary mental stampede as it happened to the statesman health status and subsequent demise iannouncement during late hours whilst most had gone to bed [17/3/2021 at 1800hrs followed by death announcement at 2305hrs by Her excellence Samia Suluhu who was seemingly emotionally upset of the sad event]I hope this was a teachable moment.
From it, they will grow through what they went through and do better going forward...
Mkuu mtu yeyote anayeonekana kuungwa mkono na watanzania hasa kwenye nafasi ya urais automatic mtu huyo anakuwa adui wa wachumia tumbo wa ccm,kwa hiyo si kwamba hawana sababu,sababu ni madarakaPunguza mihemko hakuna mahali Lissu ametajwa. Naomba urudie tena kusoma, pia ni kupoteza mda kumchukia mtu asiyekujua tena bila sababu za msingi.
Sheria, taratibu na kanuni kama mtu anahisi ni kandamizi lazima atazikiuka tu.Problem is not kutoa taarifa; Utaratibu unasemaje kuhusu kutoa taarifa? hapo nadhani ndio shida; Hata hao waliokamatwa watabanwa hapo
Waliokamatwa hakuna kesi hapo labda usumbufu tuProblem is not kutoa taarifa; Utaratibu unasemaje kuhusu kutoa taarifa? hapo nadhani ndio shida; Hata hao waliokamatwa watabanwa hapo
Kapotezana huyu mwacheee[emoji849][emoji849]Ndugu wachangiaji, mabibi na mabwana, kama kuna anayeweza kunielewesha chanzo cha hili povu anisaidie tafadhali, manake naona haliendani kabisa na thread husika!!
Sasa hapo ndio unamshangaa Mungu!Magufuli kafa, Lissu yupo hai!
π€£π€£π€£Mfu ni mfu tu!
Anayefia kwenye kasri la kifalme na anayefia kwenye zizi la ng'ombe wote wamefariki wala hawana habari na yanayoendelea.
Kwanza huku mtaani fullu shangwe watu wamechangamka na bashasha tele,mfano wa skukuu!...
Kamata kamata ya wanaofurahia ianze haraka!
Add Mwigulu Nchemba to that list...Lying to the people was the dumbest move anyone could make! The credibility of the VP and the PM has surely gone down the drain!
Absolutely...
Hii mambo ya serikali ya iliyokuwa chini ya "Magufuli" inafanyika "in a bizarre way"; in a very unusual way, in a extravagantly way...
Mama ana kazi ngumu kuuondoa utamaduni huu mbaya kabisa kwa sababu " the obstacle is out of the way...!"
Nadhani huyo ana ukichaaaThis is not about Tundu Lissu.
Huu utawala wa CCM bado wanafikiri tuko enzi za ujima!!!Well said. Hili ni somo kubwa sana kwa serikali.
Moyo siyo ugonjwa ambao mtu anaweza kufa taratibu.Itakuwa kafa ghafla,halafu uongo wanausemea kwenye nyumba za ibada
Hakuna shida ya kukiuka; Muhimu awe tayari kubeba consequences baada ya Kukiuka;Sheria, taratibu na kanuni kama mtu anahisi ni kandamizi lazima atazikiuka tu.
Mwigulu akiona komenti yako anatoa amri utafutwe utiwe ndaniBadala ya kufanya mambo ya maana, wanahangaika na mambo ya kipuuzi puuzi tu.