Tatizo ni kwamba hataki ku-collapse peke yake ila ataitumia Hormuz kuiadhibu Dunia nzima.inflation au mfumuko wa bei 300% vs tanzagiza 4.2%, fedha ya iran rial total collapsed ...
View attachment 3656180
View attachment 3656181
Propaganda hizi, Iran ina vikwazo vya uchumi tokea 1979 ndio sembuse vikwazo vya miezi hii 6 viimalize kiuchumi?
Tatizo ni kwamba hataki ku-collapse peke yake ila ataitumia Hormuz kuiadhibu Dunia nzima.
Miaka ya Vita Baridi na Baada ya kuanguka kwa USSR Marekani ilikuwa na nguvu kubwa mno hasa kwenye diplomasia, ilikuwa inaweza kuzozana na kupatana na nchi yeyote bila watu wa kati.
Ajabu leo inaitegemea Pakistan (iliyowahi kuishambulia na kuiita 'hot bed of terror ' ) kwa upatanishi..
zitto junior
Hauwezi ukaathiri kila bidhaa lakini kwa hali tuliyonayo kusema mfumuko wa bei eti ni asilimia 4.2 ni kufanya watu wajinga na wasiojitambua.Unaelewa maana ya Asilimia 30% Leo ukinunua mkate 1000, mwezi ujao unanunua kwa 1300, mwezi inafuata ni 1690 etc haujafika level hio.
Tatizo sio Asilimia, tatizo ni wewe hesabu imekupitia kushoto, Asilimia 4.2 kwa mwezi ni kubwa mno, kwa logic yako wewe Asilimia 30 ndani ya miaka mitano bei ya cement ingetoka 16,000 mpaka takriban 70,000 kusingekalika humu.Hauwezi ukaathiri kila bidhaa lakini kwa hali tuliyonayo kusema mfumuko wa bei eti ni asilimia 4.2 ni kufanya watu wajinga na wasiojitambua.
Angalia gharama za maisha kwa ujumla, angalia bei za bidhaa za ujenzi nk.
It's terrible.
Tatizo sio Asilimia, tatizo ni wewe hesabu imekupitia kushoto, Asilimia 4.2 kwa mwezi ni kubwa mno, kwa logic yako wewe Asilimia 30 ndani ya miaka mitano bei ya cement ingetoka 16,000 mpaka takriban 70,000 kusingekalika humu.
Time will tellhii haijawahi kutokea, kumbuka vikwazo vina madaraja pia i.e unaweza ukawekewa vikwazo lkn bado kuna vitu ukaruhusiwa kufanya, unaweza kwa mfano bado ukaruhusiwa ku-transfer fedha kutumia swift (ingawaje wanasema swift ni neutral lkn siyo neutrol kiihvyo bado west wanaweza kukuzuia kuitumia kama wakiamua) au hata exports ya baadhi ya products kwa mfano russia kawekewa vikwazo na eu lkn bado kuna vitu eu wananunua ktk russia kwa mfano mbolea au mafuta ghafi na rasilimali nyinginezo vivyo hivyo iran ndiyo aliwekewa vikwazo tangia miaka ya 70 lkn bado alikuwa na pa kupumulia mfono mdogo tu bado wairani wengi wanaruhusiwa kusoma USA au EU tena wako on scholarships paid by eu au USA.
ila hii ya sasa hivi ni end game ...
View attachment 3656478
Ulitaka watu wahatarishe usalama wa wairan zaidi ya 90M halafu waachweTrumo ana mapungufu makubwa ya kuwa na pupa kwenye kuassume vitu ambavyo bado havijawa, kama si eye basi ni washauri wake
Iran imesha survive vikwazo kibao na haitakuwa mara yao ya kwanza kuwekewa vikwazo, wana njia zao nyingi za panya za kuvikwepa,
Kama kweli Trump kadhamiria kuwaweza IRGC hakuna njia nyingine zaidi ya vita tu, hakuna namna nyingine yoyote inayoweza kuwaweka IRGC kwenye mstari zaid ya kutumia nguvu, IRGC wanaelewa kitu kimoja tu, NVUVU !! wao hivyo vikwazo hata vifanye wananchi wafe njaa kwao sio shida, walishaua wairan elf 52 walioandamana January .
Adui kushinda pale Ukraine kwa sasa sahau sijui put in yupi unamuongelea weweMmarekani kwa vile vikwazo, amemuweka kwenye wakati mgumu. Anahangaika. Watu hawawezi kula mabomu waka drones.
Ndio maana sisi wengine sio wapenzi wa vita. na huwa nawashangaa wanaofikiria vita ni kitu kirahisi kufanya.
Kwa sasa hata Putin anajuta...kuna wakati anaona kabisa balance ya vita imeegema kumpa ushindi adui kuliko yeye
Adui kushinda pale Ukraine kwa sasa sahau sijui put in yupi unamuongelea wewe
Iran hakuitaka vita ila baada ya kua aliletewa hakua nanamna zaidi ya kupambana nayo na kaishinda na ataishinda zaidi
Miaka 40s sasa ngonjera zile zile na hili sasa pia litapita mutakuja na drama mpya
Korea Kaskazini ilivyoishi ndivyo Iran itaishiinflation au mfumuko wa bei 300% vs tanzagiza 4.2%, fedha ya iran rial total collapsed ...
View attachment 3656180
View attachment 3656181
Hata vikwazo walivyoekewa mwaka 1979 havikuwa vimewahi kuekwa kabla ya hapohii haijawahi kutokea, kumbuka vikwazo vina madaraja pia i.e unaweza ukawekewa vikwazo lkn bado kuna vitu ukaruhusiwa kufanya, unaweza kwa mfano bado ukaruhusiwa ku-transfer fedha kutumia swift (ingawaje wanasema swift ni neutral lkn siyo neutrol kiihvyo bado west wanaweza kukuzuia kuitumia kama wakiamua) au hata exports ya baadhi ya products kwa mfano russia kawekewa vikwazo na eu lkn bado kuna vitu eu wananunua ktk russia kwa mfano mbolea au mafuta ghafi na rasilimali nyinginezo vivyo hivyo iran ndiyo aliwekewa vikwazo tangia miaka ya 70 lkn bado alikuwa na pa kupumulia mfono mdogo tu bado wairani wengi wanaruhusiwa kusoma USA au EU tena wako on scholarships paid by eu au USA.
ila hii ya sasa hivi ni end game ...
View attachment 3656478
Mukiambiwa musome munaona munaonewaHauwezi ukaathiri kila bidhaa lakini kwa hali tuliyonayo kusema mfumuko wa bei eti ni asilimia 4.2 ni kufanya watu wajinga na wasiojitambua.
Angalia gharama za maisha kwa ujumla, angalia bei za bidhaa za ujenzi nk.
It's terrible.
Naona hujanielewa. Hapo nimetoa mfano tu wa kasekta kamoja lkn gharama za maisha zimepanda sana na hii imeathiri bidhaa na huduma zote nchini.Mukiambiwa musome munaona munaonewa
Sasa ndio umeongea nini hiki wewe bei za bidhaa za ujenzi ndio umeona kupanda kwa vitu kwa 30%???
Unatoa allegation kubwa namna hii halafu source yako ni ya Chiziinflation au mfumuko wa bei 300% vs tanzagiza 4.2%, fedha ya iran rial total collapsed ...
View attachment 3656180
View attachment 3656181
Unatoa allegation kubwa namna hii halafu source yako ni ya Chizi
Maajabu haya
Iran kila kitu karibia Bure, so mfumuko wa bei unawaathiri kwenye vitu luxury tu kama magari, simu Kali etc. ila vitu vyao vya kawaida kuanzia mafuta, gesi, vyakula, malazi etc bei rahisi.sasa irani ni 300% na fedha ya irani imekuwa useless, 100 tsh = 50 000 iranian rial, hata shilingi yetu iko juu tena sana tu ya rial ya iran i.e shilingi 1 = 500 rial irani ...
Kama hujui Iran international ni chombo cha Habari kinachomilikiwq na Israel na saudia, kimetengenezwa kutoa propaganda na uongo dhidi ya Iran, watu wasiojielewa ndio huitumia kama source.