The islamic republic of Iran is completely collapsing!

Naona hujanielewa. Hapo nimetoa mfano tu wa kasekta kamoja lkn gharama za maisha zimepanda sana na hii imeathiri bidhaa na huduma zote nchini.
Kupanda kwa gharama za maisha hakuna anaekataa
Hilo kwasasa ndio tatizo la dunia nzima mpaka kwenu huko marekani gharama zipo juu
Tunachokukatalia ni hizo asilimia unazozisemea
 
Kupanda kwa gharama za maisha hakuna anaekataa
Hilo kwasasa ndio tatizo la dunia nzima mpaka kwenu huko marekani gharama zipo juu
Tunachokukatalia ni hizo asilimia unazozisemea
Kwa hali ilivyo ngumu hiyo ndio takwimu ya ukweli chini ya hapo ni porojo tu.
 
Mkuu mfumuko wa bei, hauusiani na uisilamu,ila hiyo ni mipango mibovu ya watala, sijui kama unachuki zako, binafsi, na uisilamu.
Na hauwezi kumzuia mtu kuchukia asichokipenda, wala huwezi kumlazimisha kupenda kitu Cha ovyo.

Kama anaona watu wanauawa na kubakwa na waislam Kwa sababu sio waislam, Kwa nini asiuchukie huo uislam?
 
Na hauwezi kumzuia mtu kuchukia asichokipenda, wala huwezi kumlazimisha kupenda kitu Cha ovyo.

Kama anaona watu wanauawa na kubakwa na waislam Kwa sababu sio waislam, Kwa nini asiuchukie huo uislam?
Sawa mkuu, umenifunza jambo.
 
Asante Usa
Iran ididimie wala isinyanyuke
 

Unaandika utafikiri iran ndo ilianda kumshambulia usa kule kwao
 

West walifanikiwa sana kuharibu hiki kizazi siku watakapoamka watakuwa wamechelewaa sana hasa hapa bongo wakisikia israel huwa wanafikiria ni wezao .. wakristu kule israel nj chini ya asilimi 2 na huwa wanawekwa daraja la chini sana
 

Hapo waliopoutengeneza huo mfumo dunia ika lala ikidhani ipo salama mpaka kondoo alipoanza kuitumia hiyo swift kama silaha dunia ndo inahaingaika kujinasua huko
 
Watu ni mashabiki ..ni kwa iran kushindana na USA kwa sasa kwa sababu vikwazo vya sasa vinaushisha kuhalibu miundo mbinu ya uchumi wa tofauti na vikwazo vya zamani...ni swala la muda tu iran itapigishwa magoti
 
Taarifa kaitoa Trump na sio Iran.

Si huyu huyu Trump kila siku anawadanganya kwamba ameshinda vita lakini kesho yake anaomba mazungumzo ya kumaliza vita na Iran?

Anakwambia wameharibu launchers za makombora zote lakini Iran bado anavurumisha makombora kokote atakako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…