The islamic republic of Iran is completely collapsing!

Bosi huwezi shindana na sayansi na tafiti mbalimbali, tatizo lako inaonekana unashindia zile tweets na propaganda za kinazi ambazo zinatengenezwa ku feed islamophobe wajinga wajinga kama wewe.

Watu wa North Africa wanaitwa amazingh/berbers/Tuareg Etc ni watu Ambao walikua wanaishi jangwa la sahara miaka na miaka hawana mahusiano yoyote na waarabu na hakuna ushahidi wowote kwamba wamekua replaced na waarabu tofauti na theory za kijinga.

Ni kama vile mtu aandike theory watu wa Zanzibar wali replace Tanzania, Kenya, Uganda, Congo etc, wanaanza vipi watu kama Milioni kureplace mamia ya Milioni ya watu?

Unaweza ukasoma study mbalimbali kama hii

North Africa ni mpaka Asilimia 90 E-M81 ambayo ni DNA ya Amazingh indigenous wa North Africa na Waarabu DNA Yao ni Chini ya Asilimia 30% na nje ya miji ni Chini ya Asilimia 5. So kusema Waarabu wali replace North Africa ni ujinga tu.

Same kwa Egypt, Japo imepakana na Nchi za Kiarabu na Eneo lake kidogo lipo Asia still Population yake kubwa ni indigenous na wanafanana same na Wa Egypt wa Zamani


So Tu ignore hizi tafiti zote tumuamini kijakazi wa wazungu ambaye hata link hatazifungua na kujifunza atarukia Uzi mwengine na kuanza kusambaza propaganda zile zile za uongo?
 
Kama kuomba chakula mitaani marekani na uingereza wanaomba chakula mitaani
Wanaomba pakulala wanaomba hata pakujificha mvua
Kama kufanya hayo ndio sio kustaarabika basi hakuna nchi iliostaarabika duniani
 

sasa unachokibishia hapo ni kipi? muslim arabs walivamia egypt, ndiyo au hapana?
egypt haikuwa muslim kabla ya uvamizi wa muslims, ndiyo au hapana?
egypt hawakuongea arabic kabla ya uvamizi wa muslim arabs ndiyo au hapana?
plus mfano wako wa zanzibar sijaulewa na unahusiana nini na hii mada?
fact: zanzibar >70% ya wakazi wake ni mzao wa utumwa i.e ni watumwa waliotolewa kongo/kigoma na ndio maana wengi wa wakazi wa zanzibar kama tu bagamoyo wana asili umanyema kongo mpaka leo hii ...
 
Kama kuomba chakula mitaani marekani na uingereza wanaomba chakula mitaani
Wanaomba pakulala wanaomba hata pakujificha mvua
Kama kufanya hayo ndio sio kustaarabika basi hakuna nchi iliostaarabika duniani
 
Hii sio comment yako? Hebu usinipotezee Muda Hapa unaandika vitu comment mbili nyuma unasahau ulichoandika



Umeclaim hapo juu majority ya Egpty ni waarabu waliovamia, unapewa data zinazoonesha otherwise unarukia kwengine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…