Don 2009
Senior Member
- Jul 14, 2019
- 102
- 230
Kwa wale wapenzi wa series za Snipping kati ya Jackal ambaye anapatikana kwenye series inaitwa The Day of the Jackal 2024 na Bob Lee Swagger aliyecheza series inaitwa Shooter 2016s. Je wewe unaona nani ni mahiri ?.. mimi naruka na Bob Lee Swagger wewe je ?