Nimekosa maneno ya kuandika lakini huyu Jamaa amekuwa ni Shujaa wangu wa wiki hii.
Nashangaa Spika ameunda Kamati kushughulikia ushahidi wake alioutoa, lakini yeye amewajibishwa na Wabunge wenzake pasipo kupewa nafasi ya kujitetea maana kilichofanyika ni ukandamizaji wa hali ya juu.
Karibu sana mtaani Mwamba najua una mengi ya kuwaeleza Watanzania, tafuta Jukwaa usimame na utapike nyongo. Kama Mbwai iwe Mbwai tu. Nakumbuka yule Mwigulu Nchemba ulimtetemesha sana mpaka akapata Kigugumizi cha Trab Trat πππ
View attachment 3026758