The last Man Standing

The last Man Standing

Manyanza

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2010
Posts
16,464
Reaction score
35,629
Nimekosa maneno ya kuandika lakini huyu Jamaa amekuwa ni Shujaa wangu wa wiki hii.
Nashangaa Spika ameunda Kamati kushughulikia ushahidi wake alioutoa, lakini yeye amewajibishwa na Wabunge wenzake pasipo kupewa nafasi ya kujitetea maana kilichofanyika ni ukandamizaji wa hali ya juu.
Karibu sana mtaani Mwamba najua una mengi ya kuwaeleza Watanzania, tafuta Jukwaa usimame na utapike nyongo. Kama Mbwai iwe Mbwai tu. Nakumbuka yule Mwigulu Nchemba ulimtetemesha sana mpaka akapata Kigugumizi cha Trab Trat 😂😂😂
20240626_172757.jpg
 
View attachment 3026758
Mpina
Ukirud bungeni hiyo November after your suspension

MSUKUMA alisema Kuna wabunge wengine walikua na wewe kwenye vikao vya Siri hotelini na wao washuhurikiwe perpendicular

Ukirudi uwe mgonga meza bungeni kwa Sasa Ni hayo tu
 
Cuba+kisesa+iringa+morogoro+kitengo litakufa jitu.
 
Back
Top Bottom