The legacy of Mwalimu Julius Kambarage Nyerere

The legacy of Mwalimu Julius Kambarage Nyerere

Nadhani Nyerere ni kiongozi mkubwa na aliefanya makosa makubwa lakini yote hakuyafanya ili ajineemeshe Bali aliyafanya akiamini kuwa yalikuwa sahihi kwa nchi yake (hili ni tofauti na makosa ya viongozi wa siku hizi kwani wao hukosea makusudi ili wajineemeshe)......


Tatizo LA siasa ya sasa ni ya mtazamo wa kimakundi hivyo,hata kama yupo kiongozi wa kufanana naye ila bado hawezi kwenda kinyume na kundi lake ....

Ninaamini kizazi hicho kitakuja..... ILA
HISTORIA ITATUHUKUMU VIBAYA SANA WATU TUNAOISHI SASA KULIKO HATA NYERERE KWA KUWA TUMEIACHA NCHI YETU KANA KWAMBA HAINA WATU WA KUITETEA ...
 
Back
Top Bottom