Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,761
- 216,011
Wafalme, Machifu na viongozi wengine walipata ridhaa ya mizimu kabla ya kupata nafasi ya kuongoza. Licha ya kuwa na bunduki na silaha za kivita lakini Wazungu walipitia mapingamizi mengi kabla ya kufanikiwa kuitawala Afrika.
Viongozi wa jadi walipokea amri na maelekezo kutoka kwa mizimu. Kuna baadhi ya jamii bado wanaongozwa kwa mitindo huu, unaitwa Secret Society. Wako wanaoutumia kulinda biashara zao na kupata utajiri.