The lie game

The lie game

Gemini Are Forever

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2019
Posts
1,508
Reaction score
2,619
The lie game.

Ni mchezo wa uongo au kudanganyana, kulishana matangopori 😀😀.
Lengo ni kuenjoi tu na si vinginevyo.

Comment kitu Cha uongo then utajibiwa Cha uongo zaidi.


Mfano;-

"Nilipokuwa nasoma walimu waliniogopa kiasi kwamba wakitaka kuongea na mimi hunyoosha kwanza vidole😂😂"
 
The lie game.

Ni mchezo wa uongo au kudanganyana, kulishana matangopori 😀😀.
Lengo ni kuenjoi tu na si vinginevyo.

Comment kitu Cha uongo then utajibiwa Cha uongo zaidi.


Mfano;-

"Nilipokuwa nasoma walimu waliniogopa kiasi kwamba wakitaka kuongea na mimi hunyoosha kwanza vidole😂😂"
Huo ni uongo.Vidole vipo kwenye viatu,wewe ulivionaje kama vimenyooka?
 
Siku ya kwanza nataka kwenda Uturuki nimefika tu bandarini ile ndege imefika nataka kupanda kumbe nimebeba tu visa yangu haijagongwa passport ikabidi nirudi tu home nikaita bodaboda ila kwenye ile bajaji nikakutana na afisa mmoja wa ubalozi akaniambia nimpe kitu kidogo akanigongea visa chap nikaomba ile uber irudi airport chap ile nafika tu pale stand nakuta lile bus nalo ndio linatoka ikabidi tu niendelee kubaki Uturuki kwa week mbili.
 
Siku ya kwanza naenda Uturuki nimefika tu bandarini ile ndege imefika nataka kupanda kumbe nimebeba tu siva yangu haijagongea passport ikabidi nirudi tu home nikaita bodaboda ila kwenye ile bajaji nikakutana na afisa mmoja wa ubalozi akaniambia nimpe kitu kido akanigongea visa chap nikaomba ile uber irudi airport chap ile nafika tu pale stand nakuta lile bus nalo ndio linatoka ikabidi tu niendelee kubaki Uturuki kwa week mbili.
Acha biashara ya kusafirisha ndege kupeleka Uturuki bila "siva" utapata hasara kulipalipa nauli za uber ya mabasi makubwa.Hasa kwenye meli bandarini ugongapo "passport-size"!
 
Back
Top Bottom