Bwana Mkubwa, hapo unapotosha ! Usimpakazie Raila kagombea mara 2 tu - 2007 & 2013. Mwaka 2002 Raila alimuunga mkono Kibaki kwenye Rainbow Alliance, wakamshinda Uhuru Kenyatta (KANU) kwa kura nyingi tu!
Uhuru Kenyatta ndiyo safari hii kagombea mara ya 4 na kupata.
Halafu kuna ubaya gani ktk demokrasia ya kweli kugombea ukijisijia kufanya hivyo? Abdoulaye Wade wa Senegal aligombea mara 8 kuanzia 1974 na hadi alipochaguliwa mwaka 2000 na akawa rais kipenzi wa Senegalese.