The LIFE and times of RAILA AMOLLO ODINGA in PHOTOS….. AMAZING

The LIFE and times of RAILA AMOLLO ODINGA in PHOTOS….. AMAZING

If there is one man that you can always count on to stand with the people on any issue, no matter the political implication is one Raila Amollo Odinga.

I detest hagiography.

Raila needs to answer Miguna, toe to toe.
 
Bwana Mkubwa, hapo unapotosha ! Usimpakazie Raila kagombea mara 2 tu - 2007 & 2013. Mwaka 2002 Raila alimuunga mkono Kibaki kwenye Rainbow Alliance, wakamshinda Uhuru Kenyatta (KANU) kwa kura nyingi tu!

Uhuru Kenyatta ndiyo safari hii kagombea mara ya 4 na kupata.

Halafu kuna ubaya gani ktk demokrasia ya kweli kugombea ukijisijia kufanya hivyo? Abdoulaye Wade wa Senegal aligombea mara 8 kuanzia 1974 na hadi alipochaguliwa mwaka 2000 na akawa rais kipenzi wa Senegalese.

Na wewe hapo umepotosha kivingine.Raila aligombea urais mwaka 1997 akiwa na chama chake cha LDP na mwaka 2007 na 2013
 
Back
Top Bottom