CCM Music
JF-Expert Member
- Dec 5, 2018
- 1,036
- 1,784
Wanabodi.
Kwa miaka ya sasa, hakuna kitu muhimu kama kuwa na connection. Kwa sasa hata watu husema it doesn't matter what you know but what matters most is who you know.
Well, kuna watu kibao wanateseka namna gani ya kuonana na mtu fulani labda kuwasilisha jambo lake kwa gharama yeyote ile, cha muhimu Jambo lake litimie.
Ama kuna watu kibao wanateseka namna gani ya kufanikisha mambo yao kadhaa na wapo radhi kutoa kiasi cha fedha ili mradi Jambo litimie.
Kuna uzi mmoja humu jamaa anatoa hata kiwanja ili mradi afanikishe kupata upolisi.
Kuna mtu hapa alikuwa anauliza namna gani ya kutuma pesa India, lkn nina uhakika atapata majibu mepesi zaidi labda abahatike apate jibu la uhakika.
Kuna watu mambo mepesi mepesi kabisa wanakwama sababu hawana connection, mfano kupata visa, passport, n.k.
Kwa maneno mepesi sana kwa sasa Lobbying ni muhimu kuliko kawaida kwa ajili ya aidha kufanikisha masuala kadhaa ama kushindwa kufanikisha masuala kadhaa.
Bahati mbaya ni kwamba, huwezi ukawa na connection ya kila sehemu. Na hasa ukizingatia mazingira ya nchi yetu ni muhimu sana kuwepo na Lobbyists wa Nguvu kwa ajili ya masuala mbalimbali madogo kwa makubwa.
Kwa maana hio, nakaribisha yeyote mwenye connection ya chochote kile, ama yeyote mwenye uzoefu wa hali ya juu kwenye masuala kadha wa kadha tuunde kitu kiitwacho 'The Lobbying Street' kwa ajili ya kufanikisha masuala mbalimbali ki uwepesi zaidi.
NB:
Kutoa pesa hakuruhusiwi usije kuweka harufu ya utapeli kwenye ishu kubwa kama hii. Maana bado utaratibu haupo!
Ni matumaini yangu kuwa 'The Lobbying Street' iwe ni sehemu ambayo kila kitu kinawezekana kutokana na aina ya watu waliopo kwenye hicho kitu. Kama kitu kimeshindikana The Lobbying Street ujue hakuna namna.
Natamani huko tuendako iwe kwamba hata mtu akitaka kuwasiliana na Kiongozi yeyote yule Duniani (iwe kishkaji ama kiofisi) basi short cut iwe ni kupitia The Lobbying Street.
Unamkuta mtu ana Jambo dogo mno linamsumbua weeeeee kumbe maskini ya Mungu ni vile hajui nini cha kufanya simple tu.
Sasa, The Lobbying Street itakuwa ndio mkombozi wenu eeeehhh
Lobbying na connection kama vile haviendani eeehhh? No vinaendana ki bongobongo!
Naam, nimeeleweka wanabodi?