Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 9,189
- 16,128
imesisikitisha sana hii series maana niliingojea kwa hamu. Jamaa wamechukua story nzuri na kuiharibu kabisa. Uigizaji mbovu scenes nyingi za kitoto sana. pengine labda huko mbele itabadilika. Wanasema imevunja rekodi ya kuwa series ya gharama zaidi, kweli pesa si kila kitu.