The Lords of the rings: The Rings of power ni utopolo sana.

Jana tu nimetoka kurudia kungalia The House of the Dragon na Rings of Power..
The House of the Dragon ni utopolo
 
Reviews zinasema kitu kingine lakiniView attachment 2347633
Sema kuna reviews za critics na reviews za viewers. Viewers wengi wameiponda. Nikajua labda ni racists tu ambao hawapendi kuona watu tofauti na weupe. Nimeangalia hizo episode mbili, ni mbovu sana. Uigizaji mbovu kabisa. Kama umeicheki utakubaliana nami. Scenes mbovu ni nyingi sana.
 
Series za hivyo naona kama zinanipotezea muda. Weka vitu vina missheni kali mkono unatembea hela za kijasusi n.k hapo ndio penyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…