The Love Calculator

The Love Calculator

hahahahahah mi na we nani ana fujo tu ..??
haya bana utapata tu chupa ya konyagi au we unataka mguu wa bia hahahah lol

Mashallah! Mguu wa bia . . . . si unajua mambo ya TBS au ISO?
 
RussianRoulette + Superman = 84% 😛oa
Too bad, Valentine day ilikua ni jana...
 
Ngoja nicheck, simwamini mtu . . .

Kama ni kweli . . . ni kifo tu kitatutenganisha!
Sasa mi nikudanganye ili iweje? lol. But hata hivo kwa vile I am not your first choice siwezi kukubali tena. lol.
 
Sasa mi nikudanganye ili iweje? lol. But hata hivo kwa vile I am not your first choice siwezi kukubali tena. lol.

Duh! Ni kweli Aisee 84%.

Sasa jamani asilia kama imekubali kuna shida gani?

Ishakuwa kiwingu tena ngoja nirudi kijijini nikachome Mkaa au niliridi Syari za Mbali nilikotoka. Imeshakuwa tabu. lol
 
Aisee it is working.. Ona hii..

Kuku+mbwa=00%
ng'ombe+mbuzi=44%
paka+panya=00%
nyama choma+beer=57%
 
Mimi naona hata matumaini hakuna kabisa sijapata hata A moja.

Sasa itabidi mnipe majina yenu ya ukweli niyaingize pengine italeta matumaini.

Firstlady1 21%
AshaDii 11%
Lizzy 20%
Mwali 20%
Kipipi 10%
Kongosho 14%
Smile 34%
RussianRoulette 79% (inaonesha huyu Russian inakubali na kila mtu )
Mimtamu 20%
Amyner 20%
 
Mimi naona hata matumaini hakuna kabisa sijapata hata A moja.

Sasa itabidi mnipe majina yenu ya ukweli niyaingize pengine italeta matumaini.

RussianRoulette 79% (inaonesha huyu Russian inakubali na kila mtu )

Kijana...:ban:
 
Na mimi nipigieni basi nione hizo match made in heaven lol

[SIZE=+3] kupeng'e [/SIZE]
[SIZE=+4] 36 % [/SIZE]

[TD="align: right"][SIZE=+3] maundumula [/SIZE] [/TD]
[TD="align: center"]
heart.png

[/TD]

[TD="colspan: 3"] [/TD]
 
heart.png

[SIZE=+3]kupeng'e [/SIZE]
[SIZE=+4]36 % [/SIZE]

[TD="align: right"][SIZE=+3] maundumula [/SIZE]
[/TD]

[TD="colspan: 3"][/TD]

Dah! Matumaini ya Yanga kuifunga Zamalek yanazidi kufifia!
 
King'asti~Mpatanishi= 02%

Kipipi~ Mpatanishi= 01%

salaaale kweli nitakua na mkosi lol.
 
Back
Top Bottom