Mpwayungu Village
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 14,540
- 30,875
Umeshajua jibuUnapaa na ndege bwana mpwayungu kila siku route mpya au dereva wa malori[emoji16][emoji16]
Hawajui kupika, wapumbavu waleUmejaribu kufika CHOMA ZONE
Unaijua cocktail?Wapi nimesema nipo moshi? Lofa we tahila mbwa wewe hujui Samia Leo yupo burundi by saa mbili yupo dar, songea to kahama ni kugusa tu Kwa Sasa
Dunia ni kijiji ukiwa na taaluma mbadala ya kupaa na ungo🤣🤣🤣We jamaa ni mpumbavu kiwango cha lami
Jana umepost upo songea unatukana walimu
Leo asubuh umepost upo Moshi mbio za kilimarathon
Leo jion umepost upo kahama
Shenz kabsaaa
Kwahiyo mtu akiwa songea Jana Leo hafiki kahama?Dunia ni kijiji ukiwa na taaluma mbadala ya kupaa na ungo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Chief muulize aliesema. Mimi hata sijui ulipo.Kwahiyo mtu akiwa songea Jana Leo hafiki kahama?
Kwahiyo mtu akiwa songea Jana Leo hafiki kahama?
Labda kaenda mpaka Mbeya kapanda ndege mpaka chato kachukua basi mpaka kahama ina wezekanaSongea to kahama kwa sasa ni masaa 22 umefika tena kwa basi za superfeo maana unapanda basi saa 12 asubuhi, saa tisa alfajiri uko tinde, pale magari ya kahama ni masaa 24 na ni mwendo wa saa moja na nusu hadi mawili utachagua mwenyewe ulale kidogo halafu uamke utafute supu ya samaki au ulale ukatafute ugali choma ya magic, kwa wale wanyarwanda, hivo asilete maneno mengi kama hajasafiri
Niliondoka na gari yangu Jana saa Tatu usikuSongea to kahama kwa sasa ni masaa 22 umefika tena kwa basi za superfeo maana unapanda basi saa 12 asubuhi, saa tisa alfajiri uko tinde, pale magari ya kahama ni masaa 24 na ni mwendo wa saa moja na nusu hadi mawili utachagua mwenyewe ulale kidogo halafu uamke utafute supu ya samaki au ulale ukatafute ugali choma ya magic, kwa wale wanyarwanda, hivo asilete maneno mengi kama hajasafiri
Ndio, pako supper sanaMagic bar SI ndo club 01 huwa kina happen hapo kama Sinza