The magic bar kahama mmenikosha Leo Safi sana

Mpwayungu Village

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2021
Posts
14,540
Reaction score
30,875
Japo kuwa nimekosa cocktail wengi hili neno ni geni ila nimepata kinywaji changu pendwa cha Windhoek za Kopo na nyama laini kama sufi, nyama tamu ya Moto

Kahama nzima ukitaka kurelax nenda the magic hutajutia ila bei zao ni nzito saltbae ajipange, bei za Moto. Ila ngoreneni sana
IMG_20230224_183046_168.jpg
IMG_20230224_181117_727.jpg
 
Kwahiyo mtu akiwa songea Jana Leo hafiki kahama?

Songea to kahama kwa sasa ni masaa 22 umefika tena kwa basi za superfeo maana unapanda basi saa 12 asubuhi, saa tisa alfajiri uko tinde, pale magari ya kahama ni masaa 24 na ni mwendo wa saa moja na nusu hadi mawili utachagua mwenyewe ulale kidogo halafu uamke utafute supu ya samaki au ulale ukatafute ugali choma ya magic, kwa wale wanyarwanda, hivo asilete maneno mengi kama hajasafiri
 
Labda kaenda mpaka Mbeya kapanda ndege mpaka chato kachukua basi mpaka kahama ina wezekana
 
Songea to kahama kwa sasa ni masaa 22 umefika tena kwa basi za superfeo maana unapanda basi saa 12 asubuhi, saa tisa alfajiri uko tinde, pale magari ya kahama ni masaa 24 na ni mwendo wa saa moja na nusu hadi mawili utachagua mwenyewe ulale kidogo halafu uamke utafute supu ya samaki au ulale ukatafute ugali choma ya magic, kwa wale wanyarwanda, hivo asilete maneno mengi kama hajasafiri
Niliondoka na gari yangu Jana saa Tatu usiku
 
Back
Top Bottom