Mpwayungu Village
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 14,540
- 30,875
- Thread starter
- #21
Nimeondoka na gari yangu Jana saa Tatu usikuLabda kaenda mpaka Mbeya kapanda ndege mpaka chato kachukua basi mpaka kahama ina wezekana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimeondoka na gari yangu Jana saa Tatu usikuLabda kaenda mpaka Mbeya kapanda ndege mpaka chato kachukua basi mpaka kahama ina wezekana
Ukija nichekiItabidi December nipige road trip. Tufike hadi huko kahama
Pole sanaWagogo bana akipata hela ya smart phone na bando tu mtamkoma
Itafute na wewe kama utapata, hujui kutofautisha picha ya infinix nayakugugoAcha kuchukua picha za mitandaoni
Anaijua cocktail???)Chief muulize aliesema. Mimi hata sijui ulipo.
Sema umepata nyama tamu ya KitimotoJapo kuwa nimekosa cocktail wengi hili neno ni geni ila nimepata kinywaji changu pendwa cha Windhoek za Kopo na nyama laini kama sufi, nyama tamu ya Moto
Kahama nzima ukitaka kurelax nenda the magic hutajutia ila bei zao ni nzito saltbae ajipange, bei za Moto. Ila ngoreneni sana View attachment 2528734View attachment 2528735
Anaijua cocktail???)
Ukurasa huu umeulipia shilingi ngapi?Usitangaze jina lako kwenye ukrasa wangu
Duuuuh hhhahaha hii sio cocktail ni pombe za kienyeji (mataputapu) [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hata mataputapu ni cocktail japo hiyo ni togwa.Duuuuh hhhahaha hii sio cocktail ni pombe za kienyeji (mataputapu) [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Uyu fala muongoLabda kaenda mpaka Mbeya kapanda ndege mpaka chato kachukua basi mpaka kahama ina wezekana
Sio kweli mshahara wewe huijui cocktailHata mataputapu ni cocktail japo hiyo ni togwa.
Cocktail sio aina moja ya kinywaji. Ni kinywaji chochote kikali kilichochanganywa na vinywaji vingine.
KomaSw mwalimu tumekuelewa
OkSio kweli mshahara wewe huijui cocktail
SawUyu fala muongo
SijakuelewaWameipata NGOREHA YAKO, vipi hujapishana na ticha yeyote leo mkuu.
Ukisoma juu hapo juu umeandika ngoreheni sana.nkajibu wameipata hiyo ngoreha.kuhusu ticha unalaumiwa kwa kuwa na nongwa sana na waalimu.Sijakuelewa