The magic bar kahama mmenikosha Leo Safi sana

The magic bar kahama mmenikosha Leo Safi sana

Katika sehemu ambazo ratiba zake za ndege hazi connect kirahisi ni huko songea
Labda uwe unatumia ndege za kukodi , lakini hakuna namna unaweza fika khama same day kutoka songea kwa atcl
Niliondoka na gari yangu saa Tatu usiku Jana
 
Japo kuwa nimekosa cocktail wengi hili neno ni geni ila nimepata kinywaji changu pendwa cha Windhoek za Kopo na nyama laini kama sufi, nyama tamu ya Moto

Kahama nzima ukitaka kurelax nenda the magic hutajutia ila bei zao ni nzito saltbae ajipange, bei za Moto. Ila ngoreneni sana View attachment 2528734View attachment 2528735
Obviously Wewe ni mshamba kuliko unavyojijua tena ni limbukeni, yaani malapulapu ya ng'ombe wa kulima,sembe,na kabeji ndiyo umeona vya kupost? Dhiki za kongwa na mpwapwa zimekufanya where we call hell, you call it paradise [emoji24][emoji1787][emoji1787][emoji137][emoji137]
 
Njoo tupate cocktail
 
Uliza bei gn hii ngoma lofa we, kama hujauza kiwanja. Inaitwa cocktail
1677273801409.jpg
 
Cocktail ni aina ya kinywaji kinachokua kimechanganywa zaidi ya kimoja ambacho hulewesha na Mocktail ni mchanganyiko wa vinywaji visivolewesha na vyote hivo hua na muonjo tofauti tofauti
Hujui kitu, mock tail haileweshi ila cocktail unalewa maana ni pombe mchanganyiko
 
Back
Top Bottom