Ushabadilika jinsia si ulikuwa mwanaume weweHata mimi mwenyewe natoka na Maxence Melo siku hizi kwa taarifa yenu
AaamennMapenzi yako yatimike, utakalo lifanyike, maana Muumbaji hakuona vyema uishi peke yako.
Mke anasifiwa utii na uaminifu; mwanaume upendo... upendo katika kila hali, katika utajiri na katika umaskini, katika wingi na katika uchache.
All the best.
Shangaa na wewe wakunyumba watu wanabadili jinsia kutokana na mazingira jf pekee ndio utakutana na hizi mamboKumbe we ni Ke?
Wacha bwanaaaaaaWaooooooh waooooh niseme nini mtoto wa kike
Hakika wewe peke yako unajua thamani yangu
Unajua kupokea madekooo yangu
Ni mwanaume pekeeee unayehimili mauno yanguuu ya feniiii ya panga boy
Mm sikubalian.na maneno ya watu kuwa umetumia tunguli kunipata
My husband Mshana
Narud tena nina barua ndefu sanaaaa
Mambo ni fireeeeeeee kama yale ya Iceman 3D na Kasie mahaba![emoji28][emoji28][emoji28]Mambo ni fireeeee!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nlitaka niulize hivyo. But ujue huku jf jinsia za baadhi ya watu zinabadilika kulingana na mada husika
GENTAMYCINE anasemaj ShunieEeenh mambo yamekuwa mambo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mambo ni fireeeeeeee kama yale ya Iceman 3D na Kasie mahaba![emoji28][emoji28][emoji28]
ikiwa na vijiraka vidogo vidogo vilivyozibwa na LAMI!!!Hahaha kama namuona demis ndani ya kaniki
KumbeeeeeeIts between this one and this one n nobody else View attachment 710175View attachment 710176
Endelea kukamatià chini Mzee baba kazi kwako mtoto huyo
Ooh sokoNaona majini yanaoana.
Huyo Demis mchukue tu, alikosa soko humu,
Nikikutana na Mshana Jr. magomeni namkata kichwaLeo rahaaaa tu